pashu
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 361
- 80
Kuzaliwa mwanaume raha sana nakushukuru Muumba kwa kuniumba Mwanaume.
Kuwa utafanya kazi kwa jasho na pesa yote utaileta kwangu.
Kuzaliwa mwanaume raha sana nakushukuru Muumba kwa kuniumba Mwanaume.
I want you....
Hapo utamuweka kwenye kiganja cha mwanamke mwenziolabda ni moja ya tactics za kumuweka kiganjani.............
u got me,hilo tu jmn?
Hilo tu, na roho yangu itapona.
kwanini nimuweke kiganjani anigande kama ruba mwisho wa siku nimchoke nishinde kumtoa. hivi halafu wanawake hatuna kazi nyingine zaidi ya kuwaza kumtunza mume tu. hebu tuanzeni kuleteana deals za kumake monies sahivi. alaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
kumake
Kwa mshahara upi?
haya,basi naandaa juju hilo usijenitoka kiganjani,lols
Wanawake mna kazi sana wallah.
Laiti mngejua ujanja wetu mdogo sana mkitujulia, msingekuwa mnahangaika hivi
Nawatakieni heri mwaego.
kwanini nimuweke kiganjani anigande kama ruba mwisho wa siku nimchoke nishinde kumtoa. hivi halafu wanawake hatuna kazi nyingine zaidi ya kuwaza kumtunza mume tu. hebu tuanzeni kuleteana deals za kumake monies sahivi. alaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
We huhitaji hayo maujanja bebii, limbwata ntakuletea mwenyewe uniwekee
in making money,there are two things involved,earning your own or chopping somebodys'..
Mume wangu kwa hizo staili atabaki kukucheka tu
Hapo utamuweka kwenye kiganja cha mwanamke mwenzio
Hakikisha umevaa gloves ili nipenyeze ndani yake kabisa nsikie joto mie.
Kumake money si mmeshaamua mvifanye vikojoleo vyenu mtaji??
ha!ha!haa thus my bebi bhana cna stress mie nna mahaba nikate damu yangu niachie...sikuach miaka 8000