Jinsi ya kumuweka mume wako kiganjani

Jinsi ya kumuweka mume wako kiganjani

kIBURI DHARAU MAJIVUNO NA MAJIBU YAO YA OVYO OVYO NDO YANATUPELEKA NJE YA NDOA KWANI KUNA MAJIBU MAZURI HATA UKIKOSA WANAKUELEZA KWA UPOLE BILA KUFOKA FOKA.
 
haya mwaliwangu hug lako hiloo chkua nimeona unaitwa mwajuma lol!mwanamke umbea babu
turudi kwenye mada ifike mahal wanawake tuamke yapo mambo ya kufanya kumtunza mume lakini wema usizid uwezo jaman wanachopenda kutendewa na wao watutendee ah!yan utadhani kuolewa deni ama utumwa

shoga utasutwa posta katikati ya mji. lol, na hamisi ushamjua? tukirudi kwenye mada umeongea mapwenti tupu shogaa, njo uchukue dripu ya azamu cola.
 
kIKUBWA WANAWAKE WA LEO HAWAJUI MAJUKUMU YAO WANAJISAHAU SANA SO NI KCHUKUA HGIRL AU UNATAFUTA KIFAA CHENYE HESHIMA NJE
 
wanawake mbona mna mawazo ya ajabu ajabu hivi?

mwanamke awekwe kiganjani? mbona imekaa kichawi chawi ??
 
Sasa kila mwanamke akifanya hiyo....wanaume tutakaa kwenye viganja vingapi? Imagine nyumba kubwa, nyumba ndogo na beki tatu wote wanatumia hayo 'maujanja' ya kuweka kiganjani!🙂
 
Sasa kama
huwazi kumtunza mumeo, unataka akatunzwe na nani..?? Mama
yako anamtunza baba yako, kaka yako anatunzwa na wifiyo,
jirani yako anatunzwa na mkewe.... wewe umtunze nani..?? Hivi mnadhani
hizo hela zina raha sana hata usimtunze mwenzio..??? Au hizo dili ndo za
maana sana kuliko mumeo..??

Hebu soma hapa halafu useme kama bado una roho ngumu
https://www.jamiiforums.com/mahusia...-yanapotokea-katika-maisha-3.html#post8680654



CC
Munkari

kumtunza mume c haba hlo ni agizo na ni lazma litekelezwe lakin jamani sio ndo hee!mtu huwaz maendeleo kisa kumdhibiti mume kweli jaman mwake humo had kujitia uchiz ka house girl,ntilie sijui lishe mwake humo? ah! shida mpeni paka ana roho saba jamani.
 
shoga utasutwa posta
katikati ya mji. lol, na hamisi ushamjua? tukirudi kwenye mada umeongea
mapwenti tupu shogaa, njo uchukue dripu ya azamu cola.

kusutwa sunna bibi wee tena upepo wanipuliza pale masingi yanaingia kweli!
sante kwa adham cola mwe
 
Sasa kila mwanamke akifanya hiyo....wanaume tutakaa kwenye viganja vingapi? Imagine nyumba kubwa, nyumba ndogo na beki tatu wote wanatumia hayo 'maujanja' ya kuweka kiganjani!🙂
Si unawapanga kama kwenye msimamo wa ligi, halafu aliye juu ndo unakaa kwake.... hawa wengine unawashusha daraja

 
na sisi tumeukubali huu mfumo dume..tunawahangaikia wao,tunajisahau sie
ndo hapo pa kujiuliza tatizo mijanaume ye2 imetawaliwa na mfumo dume inapaswa kila mtu achkue nafasi yake kumfurahisha mwenzie.
 
kIKUBWA WANAWAKE WA
LEO HAWAJUI MAJUKUMU YAO WANAJISAHAU SANA SO NI KCHUKUA HGIRL AU
UNATAFUTA KIFAA CHENYE HESHIMA NJE

tunayajua majukumu yetu waume ze2 hamtulii ku2jaza stress kila siku unategemea mwanamke atakubunia nini ilihal umekua mpenzi mzigo.
 
Si unawapanga kama kwenye msimamo wa ligi, halafu aliye juu ndo unakaa kwake.... hawa wengine unawashusha daraja

Nyumba kubwa lazima ata loose maana mara nyingi anapambana na watu asiowajua kabisa!
 
wanawake mbona mna mawazo ya ajabu ajabu hivi?

mwanamke awekwe kiganjani? mbona imekaa kichawi chawi ??

mada hii imetolewa na me nadhani hebu soma vizur Excel
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaa.

A man like you is worth my time and effort.

Ila sio kwa kuwa housegirl sijui mamalishe na kama hayo!!!!!!!
Hivi viazi ulaya ndio hutengeneza chips na pia huweza kuwa crisps!!!!????
 
Wanawake mna kazi sana wallah.

Laiti mngejua ujanja wetu mdogo sana mkitujulia, msingekuwa mnahangaika hivi

Nawatakieni heri mwaego.

they cant figure it out, wakikijua tu hakuna michepuko tena ndani ya ndoa
 
Back
Top Bottom