Jinsi ya kumuweka mume wako kiganjani

Jinsi ya kumuweka mume wako kiganjani

Wengine sisi ni Kunguru,hatufugiki,hata tupewe au tufanyiwe nini,tutarudi tu porin tukipata nafasi(tunahitaji maombi, honestly)

dah! Nmecheka mpaka mbavu znaniuma! Umeongea ukweli ambao wengi wanauficha. Cha ugenini hakiwez kufanana na cha nyumban hata waigize vp ugenin tutacheza tu
 
kwanini nimuweke kiganjani
anigande kama ruba mwisho wa siku nimchoke nishinde kumtoa. hivi halafu
wanawake hatuna kazi nyingine zaidi ya kuwaza kumtunza mume tu. hebu
tuanzeni kuleteana deals za kumake monies sahivi.
alaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!

njoo nikukumbatie Husninyo shogangu tunavyowahangaikia wanatapata kiburi mtu fanya linalowezekana bibi wee ah! SHIDA MPE PAKA MWENYE ROHO SABA.
 
Last edited by a moderator:
mwanaume yyte lazima awe mwanaume biashara za kuekana kiganjan ni za kizaman............sasa akiwa kiganjan pesa atatafuta wapi?? na wewe huendi job??

mpe uhuru mwana wa mwenzio na muda mwingine bora apige mechi za nje akirudi ndani ana heshima yake. yann kupata jaka moyo kisa mtoto wa mwenzio??

haya ndo yalee ya

'' urembo wa kachumbari kukaa juu ya pilau ikadhan imepakatwa kumbe ya kwanza kuliwa''

Alafu nilikumiso
 
Ney Wa mitego.........poleni hata sioni wakutegwa hapa
 
njoo nikukumbatie Husninyo shogangu tunavyowahangaikia wanatapata kiburi mtu fanya linalowezekana bibi wee ah! SHIDA MPE PAKA MWENYE ROHO SABA.

nimekuja shogaa, kweli wanavimba vichwa vyao vya juu na chini vile wakituona tunahangaika. tusipende kujichosha bana halafu upendo kama haupo haupo tu, mweke kiganjani, mweke kwenye macho, mweke hata ndani ya pua kama kaamua kujanjaruka hatotulia ng'o.
 
Mmmh! Nimependa hapo pa hauzgelo!! ofkoz creativity katika ndoa ni jambo la msingi sana kwa wanawake katika kudumisha ndoa mana wao ndio wajenzi wakuu wa familia. Ila wanawake wa siku hizi walivyobize kutafuta pesa mmmmmh! Sijui!! Wangu ntamfunga kamba miguuni kila akirudi nyumbani haki vilee!!

Kabisaaaa umenena munkari,naongeza shona zipu na kofuli juu,uko nje ataona kwa macho,aka ya nini presha kwangu.hiyo ndo dawa kwa wale kunguru wasiofugika
 
kwanini nimuweke kiganjani anigande kama ruba mwisho wa siku nimchoke nishinde kumtoa. hivi halafu wanawake hatuna kazi nyingine zaidi ya kuwaza kumtunza mume tu. hebu tuanzeni kuleteana deals za kumake monies sahivi. alaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
Sasa kama huwazi kumtunza mumeo, unataka akatunzwe na nani..?? Mama yako anamtunza baba yako, kaka yako anatunzwa na wifiyo, jirani yako anatunzwa na mkewe.... wewe umtunze nani..?? Hivi mnadhani hizo hela zina raha sana hata usimtunze mwenzio..??? Au hizo dili ndo za maana sana kuliko mumeo..??

Hebu soma hapa halafu useme kama bado una roho ngumu
https://www.jamiiforums.com/mahusia...-yanapotokea-katika-maisha-3.html#post8680654

chuma ni gumu ujue yani kweli mwanamke anakuwa mgumu hata kwa mmewe? Hivi siku anamtongoza hadi akamkubali napengine akaenda kanisani akatamka mwenyewe kwa shida na raha! Wanalala na kujifunika shuka moja mnabadilishana damu n.k inakuwaje leo anamtenda hivyo? Dah! That y nataka kupenda mtu kama alivyo na c alivyonavyo huuii!!

CC
Munkari
 
He he he, wakati mie mwenyewe nataka nimpeleke puta ajue game iko tait hata kwangu!!!

Huwezi tunza mtu kama hakutaki, bora mtakane tu wote

kwanini nimuweke kiganjani anigande kama ruba mwisho wa siku nimchoke nishinde kumtoa. hivi halafu wanawake hatuna kazi nyingine zaidi ya kuwaza kumtunza mume tu. hebu tuanzeni kuleteana deals za kumake monies sahivi. alaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
 
Hata ufanye vipi,ni kazi kubwa kumdhibiti kiumbe mwanaume,utafanya yote na bado ataendelea kumega nje.Utakapokuwa unafanya kweli siku hiyo atakupiga gemu vizuri,lakini siyo tija ya kuacha mechi za ugenini

we ni me au ke samahani lakin
 
dah! Nmecheka mpaka mbavu znaniuma! Umeongea ukweli ambao wengi wanauficha. Cha ugenini hakiwez kufanana na cha nyumban hata waigize vp ugenin tutacheza tu

Hii ni dawa yenu vicheche
🙁😀
 
Back
Top Bottom