Jinsi ya kumtongoza mwanamke club

Jinsi ya kumtongoza mwanamke club

Hata kama ni kick and run muhimu kiwe kisu Na asiwe changu
Sawa kijana nmekuelewa,inavyoonekana bado hujawa mbobezi kwenye hiyo tasnia,utakuja kunielewa mbele ya safari huko,sababu changu huwa hachukuliwi kwa dizaini hyo kwanza umeona wapi changu akalewa ,alafu pili demu kuwa loose ball haimanishi sio kisu bwamdogo, ni mambo ya taiming tu kama unachinja nungunungu vile.
 
Sawa kijana nmekuelewa,inavyoonekana bado hujawa mbobezi kwenye hiyo tasnia,utakuja kunikunielewa mbele ya safari huko,sababu changu huwa hachukuliwi kwa dizaini hyo kwanza umeona wapu changu akalewa ,alafu pili demu kuwa loose ball haimanishi sio kisu bwamdogo, ni mambo ya taiming tu kama unachinja nungunungu vile.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nungunungu
 
Labda ni mgeni wa club but sema tatzo kakop li ujumbe uko kalichukua lote but katika really situation club hakuna kutongoza.

Mzima lakini joanah
Sema unamtaka Jonnah acha kujishebedua kama dada aliyepoteza nauli
 
Sasa ndugu yaani hali ilivo ngumu pesa hakuna wewe unashauri watu mambo ya ajabu ajabu, mi bora nifate mwajuma aniliwaze tu maisha yaendee, sio kujikwatuaaaa kisa mwanamke na bado hapo ninunue pombe nk
 
Back
Top Bottom