edwin george
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 1,218
- 983
Izi swaga ki chuochuo kweli ila club ukiona umeopoa na yeye anaona amekuopoa yani ngoma droo kila mtu alikuwa kwenye taimingi zake apo
HahahaUmeonaeee dada yangu maana huyuuu
Kwa MwamposaUnasali wapi sakayo
HeheheHaha..unamtolea sadaka
Angalia usiende kumtekaUnasali wapi sakayo
Unajua kuangalia mistari..Wa kutongoza barabarani ndiyo huwa watamu sana. Mrembo katililia kapendeza ile mbaya kajisiliba usoni kiasi katupia kimini chake cha kukata na shoka na blouse inayoendana na kimini na viatu mchuchumio wa kiasi na nywele zake zimetengenezwa vizuri sana pamoja na kucha zake zilizotiwa nakshi ya kuvutia.
🙂🙂🙂
Nipo my dada shikamooHahaha
Upoo mdogo wangu...
Tuwaache wa Club watongozane kwanza
Nambie swahibaSwahiba [emoji119] [emoji119] [emoji119]
HongeraBaadaye itakuja hii :-
JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE MSIBANI
Hata mimi nimemshangaa hapoClub nae Kuna kutongoza kweli?
KakaAngalia usiende kumteka
Fata maisha yakoAseee nyie watu mpoooo mbn mmepooza Sana now days.... Au mm ndiyo nimepooza
Cc:mahondaw