Jinsi ya kumtongoza mwanamke club

Jinsi ya kumtongoza mwanamke club

Huwo mda wa kupanga maneno club unaupata wapi? agizia kinywaji tu mengine mteremko tu
 
Za jioni jamani,weekend ndo inaendelea hiyo Na Mimi nimeona bora niwakumbuke majembe yangu.
Kwa wale wenye mtoko Wa club au bar haya hapa mautundu yatakayo kuhakikishia kuondoka Na Mrembo
Utakayevutiwa naye.
Tusonge pamoja,

1.jiandaa
Usafi Na kuvalia kama MTU anaeenda Na wakati Ni muhimu sana.kumbuka unaenda kwenye halaiki ya watu tena club usivae kama unaenda kanisani au bungeni.
Unyunyu utakaokuwa Wa wastani utakupa maksi zaidi.

2.kuwa kidume
Haina maana upige watu,la,jiamini ukiwa club usikae nyuma au kwenye kona,nenda kaunta!!usiiname muda wote,nyanyua kifua,usikae kwa kujibana hakikisha unachukua eneo kubwa iwezekanavyo.

3.kuwa Na furaha.
Wanawake hawawapendi wanaume wenye huzuni,furahia maisha,hii itamvuta mwanamke kwako bila kujielewa!

4.anza kwa kumuangalia machoni
Hakikisha unakutanisha macho! Usimwangalie kama umebanwa Na mlango!!lainisha macho kisha angalia pembeni umpe nafasi ya kukuangalia vizuri, tabasamu!!,akitabasamu,tabasamu zaidi,mambo hayo!

5.Anza kumuandama
Hutakiwi kumfuata Moja kwa Mona alipokaa!msogeree kwa upandeupande la sivyo atakuona tishio!

6.Teka hisia za marafiki zake
Aghalabu demu huja Na rafikize club,jitambulishe pia wafahamu wao
Kuwa mcheshi.

7.muibe toka kwa marafiki zake!!.
Ili uweze kuzama zaidi utahitaji faragha!,omba kuongea nae kando au kama unaujuzi Wa kucheza mziki kama mose iyobo muombe mkacheze, huko unajua cha kufanya,waooo!
Au unaweza kusingizia hapo mlipokaa padogo!yap kisha wahamishie ktk himaya yako
Huko utakuwa huru zaidi
Kama kuchukua contacts Na mengine.

Hitimisho.
Ikiwa utacheza vizuri, kuongezea Na maujanja mengine uwezekano Wa kuosha rungu ni mkubwa sana siku hiyo hiyo!!

Kazi kwenu vidume.
Chaoo!
Acha longolongo sema una shs ngapi?
 
Vyovyote vile mkuu, agizia kinywaji kwa wingi utamskia mwenyewe tunaondoka mda gani sasa????
Sijazungumzia kuhusu madada poa nimeelezea namna unavyoweza kumvutia Na kumteka mwanamke alie enda club kuburudika,yuko well off.
 
Ujiandae kuchunwa hamna jingine tena ukutane na machangu wako kazini uisome namba ununue bia za 5000 tano halewi km hujakosa hela ya naulii xiiiiiiiii
Sichukui machangu,target yangu watoto wa chuo kama wewe
 
Sijazungumzia kuhusu madada poa nimeelezea namna unavyoweza kumvutia Na kumteka mwanamke alie enda club kuburudika,yuko well off.
utajuaje sio dada poa? club kumpata wa dizain hizo ni sawa kwenda kutafuta bikra wodi ya wazazi!
 
Za jioni jamani,weekend ndo inaendelea hiyo Na Mimi nimeona bora niwakumbuke majembe yangu.
Kwa wale wenye mtoko Wa club au bar haya hapa mautundu yatakayo kuhakikishia kuondoka Na Mrembo
Utakayevutiwa naye.
Tusonge pamoja,

1.jiandaa
Usafi Na kuvalia kama MTU anaeenda Na wakati Ni muhimu sana.kumbuka unaenda kwenye halaiki ya watu tena club usivae kama unaenda kanisani au bungeni.
Unyunyu utakaokuwa Wa wastani utakupa maksi zaidi.

2.kuwa kidume
Haina maana upige watu,la,jiamini ukiwa club usikae nyuma au kwenye kona,nenda kaunta!!usiiname muda wote,nyanyua kifua,usikae kwa kujibana hakikisha unachukua eneo kubwa iwezekanavyo.

3.kuwa Na furaha.
Wanawake hawawapendi wanaume wenye huzuni,furahia maisha,hii itamvuta mwanamke kwako bila kujielewa!

4.anza kwa kumuangalia machoni
Hakikisha unakutanisha macho! Usimwangalie kama umebanwa Na mlango!!lainisha macho kisha angalia pembeni umpe nafasi ya kukuangalia vizuri, tabasamu!!,akitabasamu,tabasamu zaidi,mambo hayo!

5.Anza kumuandama
Hutakiwi kumfuata Moja kwa Mona alipokaa!msogeree kwa upandeupande la sivyo atakuona tishio!

6.Teka hisia za marafiki zake
Aghalabu demu huja Na rafikize club,jitambulishe pia wafahamu wao
Kuwa mcheshi.

7.muibe toka kwa marafiki zake!!.
Ili uweze kuzama zaidi utahitaji faragha!,omba kuongea nae kando au kama unaujuzi Wa kucheza mziki kama mose iyobo muombe mkacheze, huko unajua cha kufanya,waooo!
Au unaweza kusingizia hapo mlipokaa padogo!yap kisha wahamishie ktk himaya yako
Huko utakuwa huru zaidi
Kama kuchukua contacts Na mengine.

Hitimisho.
Ikiwa utacheza vizuri, kuongezea Na maujanja mengine uwezekano Wa kuosha rungu ni mkubwa sana siku hiyo hiyo!!

Kazi kwenu vidume.
Chaoo!
Hhahahah kam kawaida yako Mzee!
 
Jinsi ya kumtongoza mwanamke club
Agiza bucket la heineken mezani/kaunta kwako 😀😀
 
Saa nne asubuhi hii tutakuwa Na mumu katika interview

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom