Jinsi ya kumtongoza mwanamke club

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
8,413
12,328
Za jioni jamani,weekend ndo inaendelea hiyo Na Mimi nimeona bora niwakumbuke majembe yangu.
Kwa wale wenye mtoko Wa club au bar haya hapa mautundu yatakayo kuhakikishia kuondoka Na Mrembo
Utakayevutiwa naye.
Tusonge pamoja,

1. Jiandae
Usafi Na kuvalia kama MTU anaeenda Na wakati Ni muhimu sana.kumbuka unaenda kwenye halaiki ya watu tena club usivae kama unaenda kanisani au bungeni.
Unyunyu utakaokuwa Wa wastani utakupa maksi zaidi.

2. Kuwa kidume
Haina maana upige watu,la,jiamini ukiwa club usikae nyuma au kwenye kona,nenda kaunta!!usiiname muda wote,nyanyua kifua,usikae kwa kujibana hakikisha unachukua eneo kubwa iwezekanavyo.

3. Kuwa na furaha
Wanawake hawawapendi wanaume wenye huzuni,furahia maisha,hii itamvuta mwanamke kwako bila kujielewa!

4. Anza kwa kumuangalia machoni
Hakikisha unakutanisha macho! Usimwangalie kama umebanwa Na mlango!!lainisha macho kisha angalia pembeni umpe nafasi ya kukuangalia vizuri, tabasamu!!,akitabasamu,tabasamu zaidi,mambo hayo!

5. Anza kumuandama
Hutakiwi kumfuata Moja kwa Mona alipokaa!msogeree kwa upandeupande la sivyo atakuona tishio!

6. Teka hisia za marafiki zake
Aghalabu demu huja Na rafikize club,jitambulishe pia wafahamu wao
Kuwa mcheshi.

7. Muibe toka kwa marafiki zake
Ili uweze kuzama zaidi utahitaji faragha!,omba kuongea nae kando au kama unaujuzi Wa kucheza mziki kama mose iyobo muombe mkacheze, huko unajua cha kufanya,waooo! Au unaweza kusingizia hapo mlipokaa padogo!yap kisha wahamishie ktk himaya yakoHuko utakuwa huru zaidi. Kama kuchukua contacts Na mengine.

Hitimisho
Ikiwa utacheza vizuri, kuongezea Na maujanja mengine uwezekano Wa kuosha rungu ni mkubwa sana siku hiyo hiyo!!

Kazi kwenu vidume.

Chaoo!


PIA SOMA MADA HIZI:

1. Namna ya kuongea wakati wa kumtongoza mwanamke
2. Zijue mbinu 5 za kumtongoza msichana yeyote mrembo hadi akubali

3. Mbinu 15 za kumtongoza mwanamke akakupenda daima
4. Jinsi ya kumpata mwanamke bila kumtongoza
5. Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi
 
Wa kutongoza barabarani ndiyo huwa watamu sana. Mrembo katililia kapendeza ile mbaya kajisiliba usoni kiasi katupia kimini chake cha kukata na shoka na blouse inayoendana na kimini na viatu mchuchumio wa kiasi na nywele zake zimetengenezwa vizuri sana pamoja na kucha zake zilizotiwa nakshi ya kuvutia.
:):):)

Next nahisi
Jinsi ya kumtongoza mwanamke kanisani
 
Ujiandae kuchunwa hamna jingine tena ukutane na machangu wako kazini uisome namba ununue bia za 5000 tano halewi km hujakosa hela ya naulii xiiiiiiiii
Mbona chache ila shughuli yake kitandani mbona atajutia
 
Back
Top Bottom