Jinsi ya kumtongoza mwanamke club

Jinsi ya kumtongoza mwanamke club

Mzunguko wote huo utaishia patupu, club watu wameenda ku enjoy waongezee hizo enjoyments piga round kwake na mashost zake then acha namba utatafutwa.....
We mfate fate mwisho uitiwe baunsa akutoe ndani
 
Sasa ndugu yaani hali ilivo ngumu pesa hakuna wewe unashauri watu mambo ya ajabu ajabu, mi bora nifate mwajuma aniliwaze tu maisha yaendee, sio kujikwatuaaaa kisa mwanamke na bado hapo ninunue pombe nk
Starehe gharama
 
Mzunguko wote huo utaishia patupu, club watu wameenda ku enjoy waongezee hizo enjoyments piga round kwake na mashost zake then acha namba utatafutwa.....
We mfate fate mwisho uitiwe baunsa akutoe ndani
Huko ni kutojiamini
 
Kila nikiingia jf kwanza lazima niukodelee macho huu upaja mengine ndo ya fwate
Mkuu huyo ni mtu tofauti ktk avatar sio shunie.ukimuona shunie mwenyewe utajificha,mweusi kuliko tairi la gari au lami.
 
Back
Top Bottom