Ilikuwa kwenyee Interview ya Daby&STUNTERSina hakika kama nilitofautiana nawe, labda utani tuu, huwa sio mshari hata kidogo
Muda huo wazuri wameshasepa wamebaki wauzajiMada ya kitoto hii,ila kwakuwa utoto ni hatua ya maisha ngoja tuwasaivijamadogo.
Njia ulioitaja ni ndefu sana na mlolongo,unakaribisha vizinga vya kasolaiti,chamsingi we skilizia mpaka mida ya saa kumi,mida hyo wengi washalewa so hakuna gharama ya kununua bia,then sogea mitaa ya karibu na bathroom,hapo ndo utakutana na loose ball za kumwaga,kinachofuata ni wewe tu kujiongeza mwanawane.
Haya mkuu tumia likizo yako vizuri.
Hukuelewa nilichomaanisha, nilikuona uneng'aka nikanyamaza, lkn ugomvi huwa siupendi mkuuIlikuwa kwenyee Interview ya Daby&STUNTER
Sasa club unataka demu wa kuowa ama wa kwenda kulala naye.alafu huyo anayetoka club kabla ya saa 10 atakuwa mshamba.basi walau saa 9 mkuu,ukijitusu ukaanza harakati zako kabla ya saa 9 basi jiandae kunywewa bia nyingi na kukimbiwa,sababu ya kuwatafuta dakika za majeruhi ni kuwa wanakuwa tayari wako vyombo so kazi inakuwa rahisi zaidi.Muda huo wazuri wameshasepa wamebaki wauzaji
Sasa mbn unakataa si wewe nilikukaririi Sana'a.... Ingekuwa si ID fake ningekukuta kitaaa nakupigs maweee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hukuelewa nilichomaanisha, nilikuona uneng'aka nikanyamaza, lkn ugomvi huwa siupendi mkuu
Mimi ninachojua dhahabu haiwezi kukaa juu ya ardhiSasa club unataka demu wa kuowa ama wa kwenda kulala naye.alafu huyo anayetoka club kabla ya saa 10 atakuwa mshamba.basi walau saa 9 mkuu,ukijitusu ukaanza harakati zako kabla ya saa 9 basi jiandae kunywewa bia nyingi na kukimbiwa,sababu ya kuwatafuta dakika za majeruhi ni kuwa wanakuwa tayari wako vyombo so kazi inakuwa rahisi zaidi.
Mbona hivyo jmn [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa mbn unakataa si wewe nilikukaririi Sana'a.... Ingekuwa si ID fake ningekukuta kitaaa nakupigs maweee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mdogo wetu acha ubishi.kwanza wewe huyo unayemtongozea club unamtongoza kwa lengo gani,kuanzisha familia au?Mimi ninachojua dhahabu haiwezi kukaa juu ya ardhi
Ndiyooo nakwambiaaaa[emoji85] [emoji85] [emoji85]Mbona hivyo jmn [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ushaaanzaa naona kumekuchaHebu muache mtoto Wa watu,watu wakubwa lakini
[emoji15] [emoji15] [emoji15] wivu wa nn[emoji125]Unajua Nina wivu