Jinsi ya kumtongoza mwanamke club

Jinsi ya kumtongoza mwanamke club

Huwezi jua bhanaa ni milima ndiyo haikutani unaweza ukabahatika kumuona tena. Mshike bega 🙂🙂🙂 kwa niaba yangu umpe salamu zangu nyingi.
Sababu ni wewe ngoja nisali nikutane nae siku ingine, Salam zako atazipata
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yani namaanisha hivii hawaonekanii ......saana km nilivyowazoea coz asilimia kubwa topics nyingi walikuwa wanachangiaaa huwezi wakosaa saivi si Sana'a

Usiniwazie vby sijauliza kwa ubaya lbd wewe ndiyo uwaze vby
Mie nakutania tuu mdogo wangu
 
Mie nakutania tuu mdogo wangu
Duuuuu utani nahisi siuwezii....
Utani huu huu ndiyo ulinikimbiza makapukuu wee nilikasiriki hiyo siku yaniii nikiikumbuka najikuta nacheka tuuu
 
Back
Top Bottom