Jinsi ya kumtongoza mwanamke club

Jinsi ya kumtongoza mwanamke club

Mbona chache ila shughuli yake kitandani mbona atajutia
Wewe abadani asilani mwanamke aliyezoea kuto.****na kila mboo(changudoa) hawezi jutia hata ungekuwa na hogo kutoka mkoani shinyanga wilayani kagongwa
 
Wewe abadani asilani mwanamke aliyezoea kuto.****na kila ****(changudoa) hawezi jutia hata ungekuwa na hogo kutoka mkoani shinyanga wilayani kagongwa
Unapajua kagongwa Na isaka je
 
Za jioni jamani,weekend ndo inaendelea hiyo Na Mimi nimeona bora niwakumbuke majembe yangu.
Kwa wale wenye mtoko Wa club au bar haya hapa mautundu yatakayo kuhakikishia kuondoka Na Mrembo
Utakayevutiwa naye.
Tusonge pamoja,

1.jiandaa
Usafi Na kuvalia kama MTU anaeenda Na wakati Ni muhimu sana.kumbuka unaenda kwenye halaiki ya watu tena club usivae kama unaenda kanisani au bungeni.
Unyunyu utakaokuwa Wa wastani utakupa maksi zaidi.

2.kuwa kidume
Haina maana upige watu,la,jiamini ukiwa club usikae nyuma au kwenye kona,nenda kaunta!!usiiname muda wote,nyanyua kifua,usikae kwa kujibana hakikisha unachukua eneo kubwa iwezekanavyo.

3.kuwa Na furaha.
Wanawake hawawapendi wanaume wenye huzuni,furahia maisha,hii itamvuta mwanamke kwako bila kujielewa!

4.anza kwa kumuangalia machoni
Hakikisha unakutanisha macho! Usimwangalie kama umebanwa Na mlango!!lainisha macho kisha angalia pembeni umpe nafasi ya kukuangalia vizuri, tabasamu!!,akitabasamu,tabasamu zaidi,mambo hayo!

5.Anza kumuandama
Hutakiwi kumfuata Moja kwa Mona alipokaa!msogeree kwa upandeupande la sivyo atakuona tishio!

6.Teka hisia za marafiki zake
Aghalabu demu huja Na rafikize club,jitambulishe pia wafahamu wao
Kuwa mcheshi.

7.muibe toka kwa marafiki zake!!.
Ili uweze kuzama zaidi utahitaji faragha!,omba kuongea nae kando au kama unaujuzi Wa kucheza mziki kama mose iyobo muombe mkacheze, huko unajua cha kufanya,waooo!
Au unaweza kusingizia hapo mlipokaa padogo!yap kisha wahamishie ktk himaya yako
Huko utakuwa huru zaidi
Kama kuchukua contacts Na mengine.

Hitimisho.
Ikiwa utacheza vizuri, kuongezea Na maujanja mengine uwezekano Wa kuosha rungu ni mkubwa sana siku hiyo hiyo!!

Kazi kwenu vidume.
Chaoo!
hiz dondoo ni muhim sn. ngoja niusave huu uzi.
 
Back
Top Bottom