Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,490
Marahaba mdogo wangu wa MoshiNipo my dada shikamoo
Shemeji T hajamboo???
T hajambo, ni ubusy tuu
Marahaba mdogo wangu wa MoshiNipo my dada shikamoo
Shemeji T hajamboo???
Huo ni uchochezi sasaAseee nyie watu mpoooo mbn mmepooza Sana now days.... Au mm ndiyo nimepooza
Cc:mahondaw
DadanguKaka
Unajua kuangalia mistari..
Huyo ulomwelezea mbona kama nimekutana nae leo, ila kiatu kilikuwa simple tuu
Nimefurahi tuu kukuonaDadangu
Uchochezi wa nn dada???Huo ni uchochezi sasa
HahahaAh! Kumbe eh! Haya ukikutana naye mwambie BAK wa JF anamsalimia sana. 🙂🙂🙂
Ati wamepoozaUchochezi wa nn dada???
Akizoea kanisani lazima atakuja msibani baada ya club."MAZOEA YANA TABU"Hongera
Mwenzako analia we unawaza mtongozo
Hahaha
Sasa sijui ka nitamuona tena bhana
Yani namaanisha hivii hawaonekanii ......saana km nilivyowazoea coz asilimia kubwa topics nyingi walikuwa wanachangiaaa huwezi wakosaa saivi si Sana'aAti wamepooza
Najua sababu ya furaha yako, asanteNimefurahi tuu kukuona