acha tu mkuu hii kitu noma najutakumbe tupo wengi hivi tunaotaka kuacha hii kitu
ipi mkuuTafuta na dawa za kuacha sigara zipo wanauza
kiukweli jina nimesahau ila kwa hawa wauzaji wa tiba asilia/mitishamba wanazo..ipi mkuu
Kuna DawaWakuu habari za mida hii, ninatatizo la kuvuta sigara sana kila nikitamani kuacha naacha kama wiki mbili au mbili na nusu narudia tena, nifanyeje ili niache kuvuta kabisa?,
Pole sana! Wakati wa maonyesho tembelea mabanda hayo ukipata Dawa za miti shamba hasa kutoka Mbeya ni Mizizi Fulani hivi inatest ya Pilipili itakusaidia sana na imesaidia wengiWakuu habari za mida hii, ninatatizo la kuvuta sigara sana kila nikitamani kuacha naacha kama wiki mbili au mbili na nusu narudia tena, nifanyeje ili niache kuvuta kabisa?,