Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

Bila kuzunguka sana,
Ni mwaka wa pili sasa nimekua mvutaji wa sigara mpaka imekua naanza kutisha lips za midomo yangu.
Sasa imefika wakati wa mim kuachana na uvutaji hatari wa sigara,
Nipo tayar kupokea maoni na ushauri wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nimevuta sigata miaka mingi na nilianza kwa kuangalia wafanyaki wa home by then nilikuwa shule ya msingi then secondary nikiwa high school sikuvuta niliogopankufukuzwa Nitaenda Diploma Nikita nankuacha kama mara 3 Nikaanzqbkazi niliachankdg nikarydi tena kwa miaka kama 2 nitaenda kusema Degree nikavuta kwa miaka 2 Nikarydi MTAA nikavuta sana on and off kwa bipindi viewfinder hadi 2019 november sasa Sijui kama ndo nimeacha au ....sio Tahiti nicotine ni shida mikubwa nguvu toka ndani yako Ikuongoze
 
Yaaaah yani kaka brain ikiisha adapt effect ya nicotine kwnye mwili basi ndo kuna wakati mtu unashindwa fanya mambo flan mpaka upige fegi....mi ni mwaka wa pili Sasa na nimeshaichoka
Mm nimevuta sigata miaka mingi na nilianza kwa kuangalia wafanyaki wa home by then nilikuwa shule ya msingi then secondary nikiwa high school sikuvuta niliogopankufukuzwa Nitaenda Diploma Nikita nankuacha kama mara 3 Nikaanzqbkazi niliachankdg nikarydi tena kwa miaka kama 2 nitaenda kusema Degree nikavuta kwa miaka 2 Nikarydi MTAA nikavuta sana on and off kwa bipindi viewfinder hadi 2019 november sasa Sijui kama ndo nimeacha au ....sio Tahiti nicotine ni shida mikubwa nguvu toka ndani yako Ikuongoze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo hivi mkuu,,,cha kwanza nimeshaamua kuacha kuvuta sigara.....lakn trust me brain ikisha adapt condition ya kuwa na nicotine mwilini....basi ndo mda wote mtu unapata kiu ya sigara na kuna wakati hata chooni huwendi mpka uvute kitu...yn ukienda bila kuvuta sigara basi utajikamua hata SAA zima kisitoke kitu
Njia pekee ni ku AMUA KUACHA KUVUTA SIGARA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo hivi mkuu,,,cha kwanza nimeshaamua kuacha kuvuta sigara.....lakn trust me brain ikisha adapt condition ya kuwa na nicotine mwilini....basi ndo mda wote mtu unapata kiu ya sigara na kuna wakati hata chooni huwendi mpka uvute kitu...yn ukienda bila kuvuta sigara basi utajikamua hata SAA zima kisitoke kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hujaamua mkuu. Ukiamua kiukweli hivyo visingizio vyote haviwezi kukukwamisha
 
habari wanajamvi Mimi ni kijana mtumishi katika kada ya afya miaka 6 ilopita niilingia ktk matumizi ya pombe na sigara kimasihara tu (peer pressure) though athari zake nazitambua ilifika muda nikakubuu sikuipenda ile hali coz ilibadilisha life style yangu nilianza mkakati wa kupambana kuviacha nashukur mungu pombe niliiacha totally japo sikutumia nguvu Sana upande wa sigara nmetumia gharama Sana ili niache nimetumia dawa mbali mbali na mbinu mbalimbali nazoshauliwa lakini cjaweza kabisa tafadhali jamani naombeni msaada wenu Kama Kuna aliye liweza hili anipe msaada.!

N.B swala la kupunguza kidogo kidogo ni uongo nahitaji dawa ya kucha on point.
 
ni mwaka wa 13 saiv nimeshindwa kuacha mkuu
na ndio naona itakuwa sabab ya kifo chang
sigara noma kaka
 
Mbona simpo tu..

Anza kutumia bangi then fegi unaipotezea taratibu huku ukiendelea kula mjani.

Baada ya hapo nicotine ya fegi itaanza kupungua na hatimaye unaibwaga mazima.

NB: nimekwambia uanze kutumia bangi kwa maana mazingira ya kuacha bangi ni rahisi zaidi kuliko hayo masigara!
 
Ubaya wa majani pombe inakukataa maisha yako yote. Nilivuta ganja nikashangaa hata bia 3 siwezi kunywa wakati nilikuwa namaliza kreti kwa siku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom