Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

Mkuu jaribu kutumia kahawa na tangawizi wakati wa hangover ya sigara huenda ikasaidia.
Pia jitahidi mazoezi kila siku, yani every day kwa masaa machache
 
Hata watu wakushauri vp kama hujaamua wewe usitegemee watu watakubadilisha amua mimi nimevuta sana fegi nimeacha 2016 si kwa kuomba ushauri kama wewe ufanyavyo,niliamua sitavuta sigara tena,na nimefanikiwa kuacha
 
Bro!kama una nia kweli kuacha sigara ni simple sana. Fanya hivi kila siku unapovuta sigara popote utakapokua majivu na kile kishungu vihifadhi sehemu safi may be kwenye mfuko au gazeti safi.Then ukirudi nyumbani andaa glass yako ya maji safi ya kunywa kisha weka vile vishungi na majivu ya sigara kisha funika.

Fanya zoezi hili kwa wiki moja,maji ni yale yale glass moja yafunike vizuri. Baada ya wiki moja chukua chujio yachuje yale maji vizuri kisha yanywe.Kitakachofuata baada ya muda utatapika sana. Baada ya kutapika hiyo ndio itakua tiba yako maana hata moshi wa sigara hutata kuipata tena ile harufu yake. Kila la heri kaka.
 
Pole Mkuu, mimi mwenyw nimefanikiwa kuacha sikutumia dawa yeyote. Nilihamua tu mwenyewe.
 
Wakuu habari za mida hii, ninatatizo la kuvuta sigara sana kila nikitamani kuacha naacha kama wiki mbili au mbili na nusu narudia tena, nifanyeje ili niache kuvuta kabisa?,
 
Wakuu habari za mida hii, ninatatizo la kuvuta sigara sana kila nikitamani kuacha naacha kama wiki mbili au mbili na nusu narudia tena, nifanyeje ili niache kuvuta kabisa?,
Pole sana! Wakati wa maonyesho tembelea mabanda hayo ukipata Dawa za miti shamba hasa kutoka Mbeya ni Mizizi Fulani hivi inatest ya Pilipili itakusaidia sana na imesaidia wengi
 
Bt nimepunguza KINOMA TOKA KUPIGA PACT PER DAY MPK FEGI MBILI AU TATU

I HOPE NITAACHA MAANA NAKUWA KAMA MZEE KUTEMA MAKOHOZI *****
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom