Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

Kubali sigara ni mbaya na anza punguza matumizi ukishindwa iyo chukua sigara iweke kwenye maziwa uiloweke then itoe uikaushe juani washa sigara yako vuta


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kubali sigara ni mbaya na anza punguza matumizi ukishindwa iyo chukua sigara iweke kwenye maziwa uiloweke then itoe uikaushe juani washa sigara yako vuta


Sent from my iPhone using JamiiForums

Mkuu! Ni vyema kusema matokeo ya kitendo hiki... ni yapi ? Kutambika? Kuwndesha??
 
Ukiashaujua kwamba kila kitu binadamu anachokifanya kinaanzia kweny mawazo yake bc ni rahisi kuacha sigara japo mwanzo arosto itakutesa. kwanza fanya hivi jaribu kila unapohisi unatamani kuvuta sigara jaribu kuyahamisha mawazo yako kufikiri vitu vingine (kujisahaulisha) au kucheki movie au kupiga story na marafiki wasiovuta sigara ili wa sikushawishi

Na kingine toa vitu vyote vitavyokufanya utamani kuvuta sigara kama viberiti ,vipisi vya sigara , vifungashio vyake na vinginevyo na kubwa zaid jitahidi kulaa pilipili nyingi kweny vyakula vyako hii itakusaidia kupunguza hamu ya kuvutaa sigara ukiwa umemaliza kulaa.

Ukijaribu kuzingatia hay naona inawez kukusaidia ndani ya wiki au wiki mbili ilaa hii ya kusema punguza kidogo watu wengi haiwasaidii .NAMALIZIA kuacha sigara ni vita kama vita vingine ila ni ni vita kati ya mawazo yako na tamaa za mwili usichukulie lelemama Amua leo na Utaacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba hakuna binadamu anaueweza kushinda dhambi kwa matendo yake

Kuna neema inahitajika kuingia ndani yako itakayokuwezesha kushinda hilo nayo itakuja ndani mwako kwa kumpokea Yesu Kristo awe Bwana na Mwokozi katika maisha yako

Kubali wewe ni mdhambi kisha tubu na dhamiria kuacha kabisa
 
Jitahidi kutembea na kifimbo cheusi, ukipita krb na duka weka kifimbo mdomoni! km jkn
 
Wakuu habari za mida hii, ninatatizo la kuvuta sigara sana kila nikitamani kuacha naacha kama wiki mbili au mbili na nusu narudia tena, nifanyeje ili niache kuvuta kabisa?,
Umekuwa affected,omba hifadhi uishi nyumba moja na wachungaji wa kilokole pia mda wako utumie ukiwa nao utaacha tu,sigara Ni sawa na punyeto, kula rushwa, amberuty,
 
Sigara ina nicotine, a very addictive substance. Kuiacha inahitaji mkakati maalumu.Mimi nilifanikiwa kuacha kwa kujitrain mwenyewe.Fanya yafuatayo:

1. Punguza idadi ya sigara unazovuta kwa siku.Mfano kama ulikuwa unavuta packet moja kwa siku, puguza hadi sigara 15,10 hadi 5 kwa siku.

2. Jinyime kuvuta sigara usiku ,kama ulikuwa unaamka katkati ya usingizi na kuvuta,acha.

3. Jiepushe na marafiki wavutaji.Ukiwa nao watavuruga mpango wako

4. Endelea kupunguza idadi ya sigara hadi kufika moja kwa siku.

5. Unaweza sasa kuvuka siku nzima bila kuvuta.Ukifika hatua hii, jaribu kuruka hadi siku tatu bila kuvuta,lakini endeleakuhakikisha sigara ni moja tu kwa siku.Ukiweza kufikisha wiki bila kuvuta unaweza kuacha sasa.

Mpango huu niliubuni mwenyewe na ulinisaidia sana kuacha mpaka sasa sivuti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anza kupunguza mdogo mdogo, jiweke karibu na Mungu wako, kaa na watu wasiopenda kuvuta fegi vile vipesa vidogo dogo unaopenda kununulia fegi fanya kama ukivishika tu unatupa chini ya uvungu huko siku ukipita mwezi kaviangalie. Nmekupa tu ushauri mzee mwenyewe bado sijaacha ila nimefanikiwa kupunguza kuvuta sigara n nnaamin ipo siku sitokuja kuvuta tena sigara aisee! Imenipotezea vitu kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia punje za vitunguu swaumu mara tuu unapopata hamu ya kuvuta sigara(arosto),vitunguu swaumu vinaondoa ile arosto yote kwenye mwili.
Kuwa unatembea na puche za bitunguu swaumu mfukoni,pia beba na bublish kwa ajili ya kutoa harufu ya vitunguu,sio sigara tuu,ukiwa serious hata madawa ya kulevya kama bange,cocaine na mengine unaweza acha...
Nafanyaje niweze kuacha sigara na tumbaku nimekua addicted sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kuzunguka sana,
Ni mwaka wa pili sasa nimekua mvutaji wa sigara mpaka imekua naanza kutisha lips za midomo yangu.
Sasa imefika wakati wa mim kuachana na uvutaji hatari wa sigara,
Nipo tayar kupokea maoni na ushauri wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni muislam nakushauri anza kufunga sunna. Masharti yake ni kama swaumu za ramadhani, mchana unajizuia na kula, kunywa na mengineyo ikiwemo kuvuta sigara.

Ukianza na 12- hours therapy utasogea mpaka masaa 24 during the course.
Mdogo mdogo mpaka utafikia lengo la kuacha kabisa. Ni ngumu ila jutahidi. Kila la kheri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dooh bahati mbaya ni sio muislam mkuu
Kama ni muislam nakushauri anza kufunga sunna. Masharti yake ni kama swaumu za ramadhani, mchana unajizuia na kula, kunywa na mengineyo ikiwemo kuvuta sigara.

Ukianza na 12- hours therapy utasogea mpaka masaa 24 during the course.
Mdogo mdogo mpaka utafikia lengo la kuacha kabisa. Ni ngumu ila jutahidi. Kila la kheri.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But kuna kitu nimechukua kutoka kwenye maelezo yako kitanisaidia
Kama ni muislam nakushauri anza kufunga sunna. Masharti yake ni kama swaumu za ramadhani, mchana unajizuia na kula, kunywa na mengineyo ikiwemo kuvuta sigara.

Ukianza na 12- hours therapy utasogea mpaka masaa 24 during the course.
Mdogo mdogo mpaka utafikia lengo la kuacha kabisa. Ni ngumu ila jutahidi. Kila la kheri.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom