NGANU
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,919
- 393
Watu watwangana makofi jamiiforum kisa kujifunza,
bofya hapa Everlenk azichapa na Ed n Edd n Eddy kwa kutoelewa darasani.
Hahahahaha!!!! na hii mkuu ndo inakwendaje? Au kuuvuta uzi fulan na kuuleta hapa.....twende darasani.....najaribu kwanza nikishindwa utaniambia ....
NGANU awa mwalimu mzuri JF.
Mkuu unani-inspire kwa kunipa hivi vi-homework
Sijui nitaweza kuuvuta huu uzi
Jinsi ya ku highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JF.
Mkuu kwa maelezo ya mwl RGforever
unaanza na neno ambalo unataka kubold na mwisho unamalizia na
ila usiruke nafasi kama nilivyofanya mimi.
lowassa[color/]
ndiyo na ile ya maandishi makubwa.
kumbe na wewe ulikuwa classNimejua ahsanteni sana