Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

Ningeshangaa mtani kama ungeshindwa
mtani nimesumbuka lakini acha,nimefanya editing mpaka basi



Hahaaa Mimi jana ikabidi nijipe ka-homework na kimchina changu
Hongera sana,kuna mtu aliwahi nipa tuition ya hii kitu humu humu ndani,huwezi amini nilitoka kapa siku nzima mpaka nikaona aibu,leo wewe umenipa hamasa sana nikasikia uwivu ikabidi za kuambiwa nichanganye na zangu hatimaye nikaweza.
 
Back
Top Bottom