Mimi Namna ya Ku quote jina tafadhari ndo nataka kufahamu
Kama hivi[color/]
ushamba mzigo
Ku under line Ku bold na Ku delete ni mtihani sheikh
Yaani ni hivi kukata maneno katika sentensi moja mfano katika sentensi yako .....nimeliona bandiko lako nami nataka nikujibu sawa
Nimeshindwa kuelewa swali lako naomba unieleweshe nami nikujibu
wapi hujaelewa?
Bado mtanibado tu mtani?
Ngoja nijiongeze na mimiTuvute subira tu
Nisaidie mtani nimechemka...Ila kama rangi tumeweza kwanini hili litushinde mtani?
bado mtani [/QOUTE] ,
Hahahahahahahhahaha kazi ipo
Hahahahahahahhahaha kazi ipo
Kama unajua nifundishe basi hii ya kukata Kata maneno.
Kama unajua nifundishe basi hii ya kukata Kata maneno.
Kukata maneno vipi?