Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Au na sumbai anakuzungukiaga nini? Hahahha
Hahahah kila mtu aje na I'd ya bwana akee mm ninao pm nawapa tu mascreenshort[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
so mnaona shiiida wenyewe!kweli wanaume mmetofautiana sana sana!MUNGU ENDELEA KUWAWEKA HAI WANAUME WANAOJUA KUJALI !WAENDELEE KUDAMSHI KAMA WOOOTE!😉
Mwanamke mvivu anapenda mwanaume mwenye pesa, wahenga walisema; "F** WITH A WOMAN WHO HELPS YOU HUSTLE, NOT WHO WATCHES YOU STRUGGLE" kwa kikwetu sijajua wanamaanisha nini
 
Wewe unachochea ndoa za watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ww ndo umeharibu sana kusema anashinda pm kwako!mm nipo hapa kwa utani tu... wala sina kitu nachojua... mbn mm Mshana Jr anakesha pm kwangu thithemi hapa😛 jus kiddin bibi wee!
 
Hahahaha hata mm nachitchat hhahaha mme wake ni s tu wala asife na pressure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanamke mvivu anapenda mwanaume mwenye pesa, wahenga walisema; "F** WITH A WOMAN WHO HELPS YOU HUSTLE, NOT WHO WATCHES YOU STRUGGLE" kwa kikwetu sijajua wanamaanisha nini

yaan km umenisoma ungeleewa!sijjasema mm nikutegemee wewe kwa kila kitu...point iliopo hapa ni jinsi ya kumuwin mwanamke fast..mm hustle zangu ht ww huweki pua... ila tunapenda kuwa aprecciated.. unajua huyu mwanamke anajiweza na ww unamtaka!kwan ukimpa zawad itakucost nn ww..! ala!
 
Asee km kweli vile,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom