Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Ha ha ha nawe unataka watoto wazuri, you see kila mtu anapenda vizuri
Mwanamke yeyote ni mzuri, depends anajitunzaje, mfano anavyoongea, anavyojiheshimu, adabu nk, hivyo ndo vitu naona vya kunipendeza, uzuri makeup tu, picha za kubinua makalio wala sio za uzuri hizo ni za kupiga na kuacha
 
Yeah nmesema pia inatakiwa umsome unaemfata, sasa we utakuta mtu ye kila kitu yupo perfect, story zake kupika perfect, kitandani perfect, kutunza Mme anajiweza japo bado hajaolewa, kudanga anakwambia hawezi sipendi vya kupewa, yani everything perfect....shtuka babu huyo ni malaika ilitakiwa umkute mbinguni sio jf
Mh ivo eeeh
 
Mkuu ukiangalia kwa makini mi sijasema kuna mtu anajiuza humu...My point is"how comes a fake woman need a real man"...ukiangalia kwa makini michango ya watoto wa kike humu ilikuwa ni kuwa real man huwa hawaongei sana wanatuma tu pesa and wakazidi kuongeza kuwa wenyewe hawataki mazoea na mtu asiyejua kutuma pesa...nikawauliza wananini haswa tofauti na hawa tunaoishi nao mtaani ambao tunawapiga free P??? hawajanijibu na hawawezi kunijibu
Hivi unajua kupigwa free p sio ishu, hivi mfano nimekutana na jamaa mkare nimemzimia hadi naumwa nikimuona naloa naanzia wapi kumuomba hela yani huyu ni atateleza bureeeee na nisipokua makini naenda hata vicoba kumkopea!!!!
 
Nami nasubiri kujua hili

mm kwa topic hii real men namaanisha aliowazungumzia pale juuuuu!jaman kuna wengn wanaboa jaman!masaa yoote anakuomba picha,mara akuibukie usiku anakuambia NAMBIE! asbh ht hujafika kibaruan kakpigia mselfie katoa na ulimi nje..yaan full tabu... anaweza kukutxt usimjibu akaanza kulaumu sik nzima..sasa wale tunawaongelea hapa akiona upo kmya atakusikilizia baadaye either akienda mbali atakutumia salio kbs!...haboi...hachefui..sasa ww kuutwa pm kunisalimia tuu eishhh!
ila mm pia ni real women..coz kuna masela nawapiga tafu vile vile..!
 
Hivi unajua kupigwa free p sio ishu, hivi mfano nimekutana na jamaa mkare nimemzimia hadi naumwa nikimuona naloa naanzia wapi kumuomba hela yani huyu ni atateleza bureeeee na nisipokua makini naenda hata vicoba kumkopea!!!!
Asee si mchezo
 
😀😀😀😀😀 huyu mm nimwelewa!amebase kwa waleee!sasa m na ww tpo kwingne kbs!hajui ugwadu huyu! wanaojiuza toka lin akawa na ugwadu!
 
Hivi unajua kupigwa free p sio ishu, hivi mfano nimekutana na jamaa mkare nimemzimia hadi naumwa nikimuona naloa naanzia wapi kumuomba hela yani huyu ni atateleza bureeeee na nisipokua makini naenda hata vicoba kumkopea!!!!
Ndo nilichomaanisha mkuu, kwa wengine mnalilia D ila kwa wengine mnakaza hatugusi hata bega
 
Aisee kumbe kutongoza bado ni kazi ngumu kiasi hiki!?? Poleni sana vijana...!!
 
Na hela haijahusika hata 100,

Ni story ndefu kidogo ila nadhani nishasimuliaga humu.... Kuna kipindi nilirudisha mpesa yake Smart911 kama mara mbili hivi namjibu Sina njaa kiivo na sinunuliwi kwa pesa mimi .... sema he's so genius anajiamini sijawahi ona yaliyofuata mwenyewe nilisalute... na mpaka leo namshukuru sana mungu kwa ajili ya Smart911
 
mm kwa topic hii real men namaanisha aliowazungumzia pale juuuuu!jaman kuna wengn wanaboa jaman!masaa yoote anakuomba picha,mara akuibukie usiku anakuambia NAMBIE! asbh ht hujafika kibaruan kakpigia mselfie katoa na ulimi nje..yaan full tabu... anaweza kukutxt usimjibu akaanza kulaumu sik nzima..sasa wale tunawaongelea hapa akiona upo kmya atakusikilizia baadaye either akienda mbali atakutumia salio kbs!...haboi...hachefui..sasa ww kuutwa pm kunisalimia tuu eishhh!
ila mm pia i real women..coz kuna masela nawapiga tafu vile vile..!
Mkuu ngoja nikae vizuri
 
Nimeelewa ,sasa ahsante kwa darsa, nadhani waenda PM watakua wamejifunza
 
Back
Top Bottom