Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,104
- 165,320
Ha ha ha ha nini bega hata pm tu hujibiwiNdo nilichomaanisha mkuu, kwa wengine mnalilia D ila kwa wengine mnakaza hatugusi hata bega
Ha ha ha ha nini bega hata pm tu hujibiwiNdo nilichomaanisha mkuu, kwa wengine mnalilia D ila kwa wengine mnakaza hatugusi hata bega
Napenda kweli nimtumie mwanamke laki nne airudishe kwa jeuri, huyo namfungulia na kampuni kabisa
Okay ma, basi ngoja tuendelee kuwapa vijana somo la kuapproach vizuri😀😀😀😀😀 huyu mm nimwelewa!amebase kwa waleee!sasa m na ww tpo kwingne kbs!hajui ugwadu huyu! wanaojiuza toka lin akawa na ugwadu!
Sasa utajuaje km nina dhamira nzuri au mbaya kama hujajibu mesej na ukanifahamu vizuri, ila kwa upande mwingine salamu nyingi zinaboaHa ha ha ha nini bega hata pm tu hujibiwi
Huwa mnasimuliana..duh mnaanzajemtakuja kutongoza majini, kwani mtaani kwenu au kazini au popote hukutani na wanawake, unataka wa humu ili ukimla uje utusimulie???
Humu?Napenda kweli nimtumie mwanamke laki nne airudishe kwa jeuri, huyo namfungulia na kampuni kabisa
Mkuu naona unainjoi unavyosifiwa humu....Wewe ni Real Men? Hivi real men anakuaje kwanza ,
Halafu wapunguze hadi ngapi Mkuu, ili na sie tumudu
Humu humu ndio au ni Mission Impossible mkuuHumu?
Sasa utajuaje km nina dhamira nzuri au mbaya kama hujajibu mesej na ukanifahamu vizuri, ila kwa upande mwingine salamu nyingi zinaboa
Hivi kweli mtu uanze na meseji ya "xaxa ixhu vipi, au from no where uanze niambie" afu nitegemee utakua na cha maana, haiwezekani!!!!Sasa utajuaje km nina dhamira nzuri au mbaya kama hujajibu mesej na ukanifahamu vizuri, ila kwa upande mwingine salamu nyingi zinaboa
Sijafisiwa popote Mkuu ,mie nazingua tu,nasubiri muda ufike nikazimueMkuu naona unainjoi unavyosifiwa humu....
Hahaaaa labda anajiskia vizuri kusoma mesej zako za ndioumeanza kuelewa!nna mshikaji m1 kwa siku ananiuliza upo job? bas had jms ananiulizaga tu.. najib ndio!
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 aisee!le cerveza!Sijafisiwa popote Mkuu ,mie nazingua tu,nasubiri muda ufike nikazimue
😛😛Hahaaaa labda anajiskia vizuri kusoma mesej zako za ndio
Afu kuna ishu sipendi mtu anaanza yeye mesej afu baada ya salamu anasema niambie, inanimalizaga poziHivi kweli mtu uanze na meseji ya "xaxa ixhu vipi, au from no where uanze niambie" afu nitegemee utakuta na cha maana, haiwezekani!!!!
Sijafisiwa popote Mkuu ,mie nazingua tu,nasubiri muda ufike nikazimue



mkuu utanishtuaAfu kuna ishu sipendi mtu anaanza yeye mesej afu baada ya salamu anasema niambie, inanimalizaga pozi
Ufahamu wangu utaujua nikija PMsasa mbn pale juu ulikua unajitoa ufahamu!
