Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,403
PM iko wazi pia aumm mdogo kweli sikatai
PM iko wazi pia aumm mdogo kweli sikatai
Kuna wanaume bwana hapa ndani. Sasa wale wa nambie. Kaka nikwambie nini na wewe ndo umeanza story pm kwangu. Kuja leta story weka mazingira ya kupewa nambahahhahha eve leo nakugawa rasmi.... xmas nilitumiwa wine 3 dadeq!kwa njia hyo hyo!jimiminia weeeee!dadeq!
siku nyingne katokea jamaa ...nikamwambia sijafika job usafiri leo sina!why mamy!nikamwambia ah bima imeisha!naogopa trafk...hela ya bima hyoooo!ila hz technique waanweza wale wakaka age fulan!safiiiii!
hqhhahaha ila usijidogoshe saana!wadogo wako secondary ujuemm mdogo kweli sikatai
Hawana hela shuziii tupu mm huwa najibu I'd kongwe kongwe tena hazina hata likes wala kucomment kwenye threads zanguVijana wa 21st century




Mimi sikujibu tena ukinikuta kichwa kinawaka moto nakujibu kajifunze kwanza kuandika ndio urudi kusalimia
Nywila anayo kalumanzila alafu kama I'd yako siyo kongwe sikujibuPM iko wazi pia au
Kuna wanaume bwana hapa ndani. Sasa wale wa nambie. Kaka nikwambie nini na wewe ndo umeanza story pm kwangu. Kuja leta story weka mazingira ya kupewa namba
Pesaa sabun ya rohoooMchawi Pesa
OK so mi kuja PM ndo sababu tosha ili nijibiwe msg lazima nitume laki???Usingeenda PM![]()
Sasa hapo mkuu ninazidi kuelewa cha kufanya, ishu ni mtonyo tuMchawi Pesa
Aaaah wewe. Ukimuelewa MTU pesa kitu gani bwana. Sema MTU anaetanguliza hela unajua kuna kaconnection flan anakatengeneza. Ila MTU anaevutia hata bila hela roho nyeupeeee unajisogeza.Hahaaaah sasa wengi wenu humu huwa hamuelezi huu ukweli...wengi wenu nyie mna act like jamaa hata awe mkali vipi hamuwezi kuwa nae bila jamaa kuwapa hela
Hahahahha nikijidogosha ndo soko linazid atiiihqhhahaha ila usijidogoshe saana!wadogo wako secondary ujue



Mtonyo hata Kama MTU hakutaki atakupa muda wake japo kidogoSasa hapo mkuu ninazidi kuelewa cha kufanya, ishu ni mtonyo tu
@manengelo ngoja nikuandalie muamala ukishatimia nikwambie nije PMhqhhahaha ila usijidogoshe saana!wadogo wako secondary ujue
Makubaliano tu ongea nae vizuriOK so mi kuja PM ndo sababu tosha ili nijibiwe msg lazima nitume laki???
Nani huyo? Asiuzike jamani ajifunze. Msando anasemaga Get Angry Get Inspiredunamuudhi mtu fudenge hapa mzigua wewe
Mambo ni motrooooooHahahah kila mtu aje na I'd ya bwana akee mm ninao pm nawapa tu mascreenshort![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hela tunazo ila tatizo lipo kwenu mmezoea vibaba vyenye ndoa zao, sisi ambao hatuna ndoa zetu mnatuona mabolizozoHawana hela shuziii tupu mm huwa najibu I'd kongwe kongwe tena hazina hata likes wala kucomment kwenye threads zangu![]()

Mtag Nione Kama ndo yule alienitumia na Mimi pia. Mwanaume huzunguki. Hapo unapata na Namba kiulainii