Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Napenda kweli nimtumie mwanamke laki nne airudishe kwa jeuri, huyo namfungulia na kampuni kabisa

Hahahahaha.. sio kwa Zama hizi.. Ofcourse hapo napo nadhani ndipo nilipopata points nyingine za ziada haha.. Japo haikuwa laki 4 Ilikua chini yahapo ila the man ana mitego na makusudi acha kabisa mbaya zaidi I knew each and everything of him humu jf.. mpaka kwenye Ile kugombana nikawa namwambia kabisa....... Ndoivo Sifa na utukufu apewe yeye aliye juu... Aimeenn!!
Barikiwa maraelfu my Smart911
 
Ushuhuda huu
 
Ufahamu wangu utaujua nikija PM

hatpo hapa kusema mje pm !binafsi sina maana hyo!@mm ningekuwaga men aisee !ningekuwa nawawin vilivyo wanawake!kuna approach nying sana sana za kuwawin wanawake... endeleen kujishaua ohh ina tv ndan!
watu wanawinika had unasema Mungu wangu huyu kaka amejuaje napenda hiki kitu!sasa wewe ednelea kuniuliza upo job? jamaa karudi?MM JIBU LANG DAILY NDIYO!
 
Hahahahaha.. sio kwa Zama hizi.. Ofcourse hapo napo nadhani ndipo nilipopata points nyingine za ziada haha.. Japo haikuwa laki 4 Ilikua chini yahapo ila the man ana mitego na makusudi acha kabisa mbaya zaidi I knew each and everything of him humu jf.. mpaka kwenye Ile kugombana nikawa namwambia kabisa....... Ndoivo Sifa na utukufu apewe yeye aliye juu... Aimeenn!!
Barikiwa maraelfu my Smart911
Kwahiyo akiwa hana hela yani ile chalalaaa ishawah kutokea, je ikitokea inakuwaje
 
hatpo hapa kusema mje pm !binafsi sina maana hyo!@mm ningekuwaga men aisee !ningekuwa nawawin vilivyo wanawake!kuna approach nying sana sana za kuwawin wanawake... endeleen kujishaua ohh ina tv ndan!
watu wanawinika had unasema Mungu wangu huyu kaka amejuaje napenda hiki kitu!sasa wewe ednelea kuniuliza upo job? jamaa karudi?MM JIBU LANG DAILY NDIYO!
Sasa tutawaaproach vp km hatuingii PM
 
Ndio mkuu, inaonekana swala la kwanza kufanya ni kuingia PM, sasa wanatublok PM, hapo sasa tutafahamianaje maana namba za simu za kuwasiliana tunatakiwa tuzipate PM, hii PM hii ni shida sana
Mwambie hapa hapa 'NIMEJARIBU KUKUTUMIA MSG PM IMEFUNGWA,NAOMBA FUNGUA KUNA UJUMBE WAKO' hawezi kukataa labda awe mshamba fulani.
 
Back
Top Bottom