Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Aaaah wewe. Ukimuelewa MTU pesa kitu gani bwana. Sema MTU anaetanguliza hela unajua kuna kaconnection flan anakatengeneza. Ila MTU anaevutia hata bila hela roho nyeupeeee unajisogeza.
Utamjuaje anavutia kabla hajaja PM ukamjibu kuwa atumw laki, ila ungemjua kabla asingetuma, au usingeomba ungekuwa unamiminiwa tu
 
Kwahiyo akiwa hana hela yani ile chalalaaa ishawah kutokea, je ikitokea inakuwaje

yeah ishawahi nitokea alikuwa anashimba madini mererani Arusha kipindi hiko nilikua chuo si unajua maisha ya chuo nilikua nakula boom plus zela za mgodini Yani niilishi kwa raha sana chuo ukizingatia mimi nilikua mbali plus hajasoma nilimdanganya sana yule kaka... nikikohoa tu muamala kidogo muamala kwakua alikuwa hajasoma ikamfanya asijiamini kabisa bali anatumia pesa zake kama zana pia I didn't love him for real alikuwa mweupee you know most of Arusha pipo .. tuseme tu inategemea na priorities zangu ni zipi


- kwa Smart911 seriously nilikua napiga teke bakuli la dhahabu mkuu the man is blessed hakuna mfanoooo plus he's gentleman hata ukiongozananae mwenyewe unajishtukia unaona unamtia aibu.. na sometimes alikuwa akiniambia twende out namwambia just go love no problem with me anasema jiamini baby I want to go with you sweetheart .. nakataa no smart ntakutia aibu mambo yako ni next level kashamba mimi sikuwezi ananifata nilipo ananikumbatia kwa nguvuu ananiambia I loved you for who you are mahondaw don't you trust me.. najibu ai duuu ila nenda tu mimi nimebariki kabisa uwe na amani Yani full kujishtukia hahaha
 
Back
Top Bottom