Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Kuwinda mtandaoni sio u fake...mtu anaweza penda labda the way unavyochangia topic humu or unavyojipambanua humu kuwa ni mtu wa namna fulani...u fake ni kuishi maisha tofauti na unavyojipambanua humu...yaani unajifanya wewe expensive mtu asiye na hela asikusogelee wakati huko mtaani unapigwa free P haswaaa
😛😛😛
 
😀😀😀😀😀 hii kali..kumbe kuna wengne wanaweka had dau!sasa na ww usituchanganyie habari !huwez kuniambia mtu km evelyn awe anajiuza!wanaojiuza lazima waje na matashititi kibao! na mbona wanajulikana hao m siwasemei...
mm nawasemea hao wengne wenye uwezo wa kutafuta ht 100 akaipata bila bugudha!😕😕
Ila mi naamini wadada wa JF wapo tofauti kidogo, hata km wapo wanaojiuza basi watupunguzie bei
 
Kuwinda mtandaoni sio u fake...mtu anaweza penda labda the way unavyochangia topic humu or unavyojipambanua humu kuwa ni mtu wa namna fulani...u fake ni kuishi maisha tofauti na unavyojipambanua humu...yaani unajifanya wewe expensive mtu asiye na hela asikusogelee wakati huko mtaani unapigwa free P haswaaa
Unajua kila mwanamke ana mdhaifu wake, hata anaweza akamwambia huyu nipe laki km huna usinizoee ila kwa yule analilia D na anabembeleza kabisa
 
Kuwinda mtandaoni sio u fake...mtu anaweza penda labda the way unavyochangia topic humu or unavyojipambanua humu kuwa ni mtu wa namna fulani...u fake ni kuishi maisha tofauti na unavyojipambanua humu...yaani unajifanya wewe expensive mtu asiye na hela asikusogelee wakati huko mtaani unapigwa free P haswaaa
Yeah nmesema pia inatakiwa umsome unaemfata, sasa we utakuta mtu ye kila kitu yupo perfect, story zake kupika perfect, kitandani perfect, kutunza Mme anajiweza japo bado hajaolewa, kudanga anakwambia hawezi sipendi vya kupewa, yani everything perfect....shtuka babu huyo ni malaika ilitakiwa umkute mbinguni sio jf
 
😀😀😀😀😀 hii kali..kumbe kuna wengne wanaweka had dau!sasa na ww usituchanganyie habari !huwez kuniambia mtu km evelyn awe anajiuza!wanaojiuza lazima waje na matashititi kibao! na mbona wanajulikana hao m siwasemei...
mm nawasemea hao wengne wenye uwezo wa kutafuta ht 100 akaipata bila bugudha!😕😕
Mkuu ukiangalia kwa makini mi sijasema kuna mtu anajiuza humu...My point is"how comes a fake woman need a real man"...ukiangalia kwa makini michango ya watoto wa kike humu ilikuwa ni kuwa real man huwa hawaongei sana wanatuma tu pesa and wakazidi kuongeza kuwa wenyewe hawataki mazoea na mtu asiyejua kutuma pesa...nikawauliza wananini haswa tofauti na hawa tunaoishi nao mtaani ambao tunawapiga free P??? hawajanijibu na hawawezi kunijibu
 
Hao waliokuwa wanacomment ni escorts, sio real women
 
Mkuu ukiangalia kwa makini mi sijasema kuna mtu anajiuza humu...My point is"how comes a fake woman need a real man"...ukiangalia kwa makini michango ya watoto wa kike humu ilikuwa ni kuwa real man huwa hawaongei sana wanatuma tu pesa and wakazidi kuongeza kuwa wenyewe hawataki mazoea na mtu asiyejua kutuma pesa...nikawauliza wananini haswa tofauti na hawa tunaoishi nao mtaani ambao tunawapiga free P??? hawajanijibu na hawawezi kunijibu
kwahyo husadiki wasemayo! kwan kupigwa free p dhambi?
 
Mkuu ukiangalia kwa makini mi sijasema kuna mtu anajiuza humu...My point is"how comes a fake woman need a real man"...ukiangalia kwa makini michango ya watoto wa kike humu ilikuwa ni kuwa real man huwa hawaongei sana wanatuma tu pesa and wakazidi kuongeza kuwa wenyewe hawataki mazoea na mtu asiyejua kutuma pesa...nikawauliza wananini haswa tofauti na hawa tunaoishi nao mtaani ambao tunawapiga free P??? hawajanijibu na hawawezi kunijibu
OK hapa kuna kitu nimejifunza
 
Back
Top Bottom