Coconut tree
Member
- Apr 19, 2021
- 70
- 73
Komaa hapa hapa home mzee,kule kumbuka ubaguzi nao umepamba moto. Home sweet home
Sure it's not true...cause mfano kutoka JF Kennedy to Manhattan ni mwendo wa Kama 45 minutes...lakini unalipa almost 60$...hapo hujatoa pesa ya fuel na taxHakuna kazi ya u dereva iwe taxi... Ubber.. Lori.. mshahara dola 100 kwa saa marekani. Acha kudanganya watu
Black Wana maisha magumu huko mbele ...pengine anarudi amechoka sio kwamba ni alikula starehe...Kabisa mkuu......mtu anaona fahari sana awe peke yake huko,unakuta mwisho wa siku anaendekeza starehe huko anakuja kurudi amechoka anaanza kutegemea watu ambao hakuona umuhimu wa kuwapa connection.
SawaKomaa hapa hapa home mzee,kule kumbuka ubaguzi nao umepamba moto. Home sweet home
Boss hatutakiwi wote tibaki tz na hatutakiwi wote twende USA.diversity ni muhimu kila mtu anachagua anachokipendaBongo raha ukiwa una bidii kidogo unatoboa. Fikiria Wakenya walivyojaa na hawataki kuhama hapa. Mpaka wanahonga kubaki ila wewe Std 4 dropout unataka kwenda US aisee Vijana badilikeni
Nimesema sio uber na trucks,wabongo siju kwanini tunapenda kubisha vitu hata ambavyo vipo kwenye internet.Hakuna kazi ya u dereva iwe taxi... Ubber.. Lori.. mshahara dola 100 kwa saa marekani. Acha kudanganya watu
Chamsingi mtu awe determined hata kwenye tucks watu wanalala humohumo tu ili ajichange mtajiUkifika Ulaya mshahara wa full time kwa kazi za kubangaiza €1,500 kwa mwezi. Hii ni kazi ya siku tano kwa wiki masaa 8 kwa siku. Hii ni net pay baada ya tax.
Mwenye kibali unampipa €300 kila mwezi unabaki na € 1,200. Hapa ujanja wako sehemu utakayo ishi na kodi utakayo lipa.
Kuna wanao amua kujibanza na familia unawalipa 300 kwa mwezi malazi na chakula. Ukiamua maisha haya uwe mtu wa kupiga mzigo ukirudi nyumbani umechoka.
wanalala kwenye truck kwa muda gani?Chamsingi mtu awe determined hata kwenye tucks watu wanalala humohumo tu ili ajichange mtaji
KweliHizi nyimbo kuna muda mtu unachoka kuzisikia.
Kabisa mkuu......mtu anaona fahari sana awe peke yake huko,unakuta mwisho wa siku anaendekeza starehe huko anakuja kurudi amechoka anaanza kutegemea watu ambao hakuona umuhimu wa kuwapa connection.Anataka uendelee kumsujudia
Sio wote...wengine wako vizuri.Black Wana maisha magumu huko mbele ...pengine anarudi amechoka sio kwamba ni alikula starehe...
Swadakta! Kuna msichana nimekutana nae, akaniambia amekaa kambini huko Zambia kwa miaka 12. Sio mchezo. Safari za Ughaibuni kutafuta maisha zinahitaji moyo haswa. Aliondoka akiwa na watoto wawili wenye umri wa miaka 3 na 5. Wameingia Denmark, watoto wameishakuwa teenagers.Wacongo wengi wanaendaga kenya kuna kambi ya wakimbizi,zimbabwe,mozambique.
Anko wangu aliendaga zimbabwe 2006 yeye na familia yake akajiandikisha kama mkimbizi mkongomani......amekaa kambini kwa miaka 10...ndio 2016 kafika marekani.
maisha ya kambini inabidi uvumile sana unaweza ishi miaka 5,7.9,10 ukisubiri kwenda ulaya na marekani.
ili uwe ktk list ya watakaosafiri inabidi uende kambini nakujitambulisha kama mkimbizi unaweza ukasema ni mrundi au mkongo utahojiwa na maafisa wakimbizi...wakijiridhisha unapatiwa kitambulisho cha ukimbizi hapo unaukana u Tanzania......ukisha pata id ya refugee unajichanganya na familia moja wapo hapo kambini ili kusajiliwa kwa safari za kwenda ulaya na marekani,sasa hapo unaweza subiri safari mpaka ukazeeka mzee inachukua muda sana lakini unaweza kuwa nje ya kambi ukiwa unaskilizia ikitokea wanakagua unaenda wakiondoka unarudi zako kitaa mpaka ikifikia sasa mnakaribia kuondoka ndio unahamia kambini.....hii ni kwa hapa bongo(kambi zilizopo Tanzania) kwa kenya sijui na huko zimbabwe na mozambique wanaruhu kukaa nje ya kambi.
Maisha ya Manhattan yakoje mkuu, tupe pichaSure it's not true...cause mfano kutoka JF Kennedy to Manhattan ni mwendo wa Kama 45 minutes...lakini unalipa almost 60$...hapo hujatoa pesa ya fuel na tax
So mkuu hao wakenya waliotoka KE kuja TZ , ni kwasababu KE hakuna fursa? ...Au wamekuja kutafuta fursa?Bongo raha ukiwa una bidii kidogo unatoboa. Fikiria Wakenya walivyojaa na hawataki kuhama hapa. Mpaka wanahonga kubaki ila wewe Std 4 dropout unataka kwenda US aisee Vijana badilikeni
So..Kazi ya kubangaiza ulaya mshahara kwa mwezi kwa fedha za Tz ni 4,00,000+ ,Ukifika Ulaya mshahara wa full time kwa kazi za kubangaiza €1,500 kwa mwezi. Hii ni kazi ya siku tano kwa wiki masaa 8 kwa siku. Hii ni net pay baada ya tax.
Mwenye kibali unampipa €300 kila mwezi unabaki na € 1,200. Hapa ujanja wako sehemu utakayo ishi na kodi utakayo lipa.
Kuna wanao amua kujibanza na familia unawalipa 300 kwa mwezi malazi na chakula. Ukiamua maisha haya uwe mtu wa kupiga mzigo ukirudi nyumbani umechoka.
Uko sahihi kuwaza hivyo mkuu, wakati mwingine mtu ukiridhiki basi kinachofuata ni kuwa kwenye comfort zone..Komaa hapa hapa home mzee,kule kumbuka ubaguzi nao umepamba moto. Home sweet home
Upo state gani ?Black Wana maisha magumu huko mbele ...pengine anarudi amechoka sio kwamba ni alikula starehe...
Siku hizi wanigeria hawendi sana US. Badala yake wanakwenda Afrika Kusini na Tanzania. Angalia walivyojazana wakiendesha makanisa ya kitapeli na kufunga na ndoa na mabinti zetu wajinga ili waweze kuishi kwetu.Wakuu habari za majukumu
Nimeona Kwa takribani majuma kazaa jukwaa letu limejaa nyuzi za kujilipua na mimi nikasema ngoja nijaribu kuandika chochote kuhusu kuingia USA nilichojifunza Kwa Nigeria
Kwenye kitabu cha biblia kuna kisa kimoja cha watu wanaitwa "wakoma wanne" (2 wafalme 7:3-20), Kwa kifupi hawa watu kwenye nchi yao (samalia) kulikuwa na njaa kubwa sana ya kuua mtu, lakini kwenye nchi ya jirani (washamu) ambao ni maadui kulikuwa na vyakula tele ila kila MTU aliogopa kwenda kuuwawa na maadui.
Hawa wakoma wanne wakasema kama tukibaki hapa tutakufa na njaa na kama tukienda Kwa washami jeshi lao litatuua, wakaamua ni bora wakafe Kwa washami Kwa jeshi kuliko kufa Kwa njaa.
Hii ndio njia kubwa wanayoitumia wanigeria kwenye kuomba Visa kuingia USA.
Nchi zetu hizi za Africa ni failed state
Nimekuwa nikijaribu kufuatilia njia halali za kwenda USA nikataka kujifunza Kwa wa Nigeria wanavyofanya nikaingia kwenye platform yao inayofanana na JF hapa kwetu iitwayo nairaland.com kuna vitu vingi sana nimejifunza hasa kwenye uzi wao uitwao
Re: General USA Student Visa Enquiries-part 16
Ukiingia hapo utakupa wanatoa tips namna walivyokosa Viza na namna walivyopata visa kuna pages nyingi sana karibia 170. Hope mtu akimaliza hapo atakuwa amejifunza kitu na wengi wanaomba kwenda kusoma.
KWANINI USA
Nchi za wenzetu zilishaendelea sana na kipato Chao ni cha juu sana fikiria dereva wa uber/Trucks kulipwa $100/hr hakuna mfanyakazi wa kawaida anaweza kumfikia Tz hii. Kwahio wanaenda kukusanya pesa baada ya miaka 5 hadi 10 wanarudi na mitaji yao.
KUHUSU KAZI NA SSN
Watu wanaoenda USA hutofautiana kimalengo wengine kusoma kweli wengine kutafuta kazi.
Sasa iliupate kazi kihalali USA inabidi upate SSN (social security card No) ambayo inatolewa na SSA ( social security Administration) kupitia wizara ya mambo ya ndani na ulinzi (DHS).
Kwahio kama ulienda kimasomo unaweza kupata kazi Kwa mda wako ambao utakuwa upo huru.
ILA Kwa wewe ambaye ulienda Kwa njia nyingine halali ila huna uwezo wa kupata SSN itakubidi utumie njia zifuatazo ili ufanye kazi
1.utafute kazi maeneo ya mijini ndio kuna mchanganyiko wa watu si rahisi kufuatiliwa na immigration (usiende miji midogo yenye wazawa wengi)
2.utafute mtu akupe SSN yake uitumie kuanya kazi Kwa makubaliano.
3.jifunze vitu ambavyo haviihitaji uwe na SSN mfano driving (upate lesseni)
4.kama unataka kusoma na hukwenda kwa njia Viza ya kusom (F1) tafuta kunavyuo ambavyo hawafuatilii sana mambo ya makaratasi mfano michigan University (Hii sina hakika sana ila fuatilia)
4.ukipata kazi jitahidi sana kutunza mtaji ili urudi nyumbani kufanya kazi zako kwasababu ukitimuliwa hutaruhusiwa kuingia tena Kwa muda USA kwasababu utakuwa "stayed out" wenyewe wanaita.
AHSANTENI SANA
Naruhusu kukoselewa vikali sana kwasababu haya ni Kwa mujibu wa uchunguzi wangu huenda wengine wanajibu tofauti
Huku kitaa kupata bwana Mingeria mbona ni status, Gigy money anaongea Pegion ya KinigeriaSiku hizi wanigeria hawendi sana US. Badala yake wanakwenda Afrika Kusini na Tanzania. Angalia walivyojazana wakiendesha makanisa ya kitapeli na kufunga na ndoa na mabinti zetu wajinga ili waweze kuishi kwetu.
Aisee kuna mataifa yana ushirikiano haswa..! ..Chakula Ulayawni bei nafuu sana, tatizo ni pa kulala.
Wachina wanachukua nyumba moja watu15-20 kila mtu anafanya shift yake, ni mara chache kukutana wote nyumbani. Unakuta kodi kila mtu anaweka €100 au 50 mezani.