6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 3,911
- 8,666
Hawa watu wakiongozwa na shetani mkuu ( USA ) na kibaraka wake Israel wamekuwa wakiendesha vitendo vya kikatili, na unyama wa hali ya juu dhidi ya Iran na mataifa mengine yanayopinga kushikiwa akili na Marekani.
Waliiwekea Iran vikwazo vikali vya kiuchumi kuliko nchi yoyote hapa duniani, ili vitumike kama silaha ya wairan kuingia barabarani kupambana na viongozi wao, au ikiwezekana jeshi litumie udhaifu huo wa kiuchumi kuipindua serikali yao.
Baada ya njia zote kugonga mwamba shetani mkuu na kibaraka wake Israel wakaamua kuingia vitani na Iran, huku vibaraka wengine kama Ufaransa, UK, Ujeruman nk wakitoa msaada kwa njia za uficho ili kuepuka aibu ya kushindwa pamoja.
Iran akiwa peke yake ameweza kuidhibiti hali na kufunga njia ambazo zinawapa wazungu jeuri ya kuendesha uchumi wa nchi zao ( nishati ) na kuhakikisha hakuna kenge yeyote ( adui ) anaepata nafasi ya kupenya katika eneo hilo bila idhini ya Iran.
Sasa leo hii ule ugumu wa maisha waliokumbana nao Iran kutokana na vikwazo vyao vya kiuchumi kwa Iran umewageukia na wao. Mafuta yamepanda bei, hivyo kusababisha gharama za maisha kuwa juu kwa vibaraka wote akiweko shetani mkuu Marekani mwenyewe. Na hapo bado hata miezi 10 haijafika kudadeki.
Bila kutubu kwa Iran, nchi hizo zitaendelea kukumbana na matatizo makubwa ya kiuchumi, pamoja na maandamano yasioisha.
Ni Swala la Muda tu.