MKIBAIGWAsharkss
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 574
- 1,365
- Thread starter
- #41
Tz???Mimi niko Amani ninalima iliki
Tz???Mimi niko Amani ninalima iliki
Nimekupata Mkuu, Nafikiri... hali ya uvunjifu wa amani kwao imewasaidia kuona fursa nje na kutake risk ?Uzi si unaongelea Wanigeria?
Wako wengi mno, serikali haiwezi kutoa ajira hata kwa robo ya population. Ni lazima watoke ili waishi.Nimekupata Mkuu, Nafikiri... hali ya uvunjifu wa amani kwao imewasaidia kuona fursa nje na kutake risk ?
Mkuu wewe upo jimbo gani hapo state?Dada kwani wewe bado upo ulaya ushaenda USA???
Hivi DMV wanaweza kukupa leseni ya udereva bila kuwa na SSN?Wakuu habari za majukumu
Nimeona Kwa takribani majuma kazaa jukwaa letu limejaa nyuzi za kujilipua namimi nikasema ngoja nijaribu kuandika chochote kuhusu kuingia USA nilichojifunza Kwa Nigeria
Kwenye kitabu cha biblia kuna kisa kimoja cha watu wanaitwa "wakoma wanne" (2 wafalme 7:3-20),Kwa kifupi hawa watu kwenye nchi yao (samalia) kulikuwa na njaa kubwa sana ya kuua mtu, lakini kwenye nchi ya jirani (washamu) ambao ni maadui kulikua na vyakula tele,ila kila MTU aliogopa kwenda kuuwawa na maadui.
Hawa wakoma wanne wakasema kama tukibaki hapa tutakufa na njaa na kama tukienda Kwa washami jeshi lao litatuua,wakaamua ni bora wakafe Kwa washami Kwa jeshi kuliko kufa Kwa njaa.
Hii ndio njia kubwa wanayoitumia wanigeria kwenye kuomba Visa kuingia USA.
nchi zetu hizi za Africa ni failed state
Nimekuwa nikijaribu kufuatilia njia halali za kwenda USA nikataka kujifunza Kwa wa Nigeria wanavyofanya nikaingia kwenye platform yao inayofanana na JF hapa kwetu iitwayo nairaland.com kuna vitu vingi sana nimejifunza hasa kwenye uziwao uitwao
Re: General USA Student Visa Enquiries-part 16
Ukiingia hapo utakupa wanatoa tips namna walivyokosa Viza na namna walivyopata visa kuna pages nyingi sana karibia 170.hope mtu akimaliza hapo atakuwa amejifunza kitu na wengi wanaomba kwenda kusoma.
KWANINI USA
Nchi za wenzetu zilishaendelea sana na kipato Chao ni cha juu sana fikiria dereva wa uber/Trucks kulipwa $100/hr hakuna mfanyakazi wa kawaida anaweza kumfikia Tz hii.kwahio wanaenda kukusanaya pesa baada ya miaka 5 hadi 10 wanarudi na mitaji yao.
KUHUSU KAZI NA SSN
Watu wanaoenda USA hutofautiana kimalengo wengine kusoma kweli wengine kutafuta kazi.
Sasa iliupate kazi kihalali USA inabidi upate SSN (social security card No) ambayo inatolewa na SSA ( social security Administration) kupitia wizara ya mambo ya ndani na ulinzi (DHS).
Kwahio kama ulienda kimasomo unaweza kupata kazi Kwa mda wako ambao utakuwa upo huru.
ILA Kwa wewe ambaye ulienda Kwa njia nyingine halali ila huna uwezo wa kupata SSN itakubidi utumie njia zifuatazo ili ufanye kazi
1.utafute kazi maeneo ya mijini ndio kuna mchanganyiko wa watu si rahisi kufuatiliwa na immigration (usiende miji midogo yenye wazawa wengi)
2.utafute mtu akupe SSN yake uitumie kuanya kazi Kwa makubaliano.
3.jifunze vitu ambavyo haviihitaji uwe na SSN mfano driving (upate lesseni)
4.kama unataka kusoma na hukwenda kwa njia Viza ya kusom (F1) tafuta kunavyuo ambavyo hawafuatilii sana mambo ya makaratasi mfano michigan University (Hii sina hakika sana ila fuatilia)
4.ukipata kazi jitahidi sana kutunza mtaji ili urudi nyumbani kufanya kazi zako kwasababu ukitimuliwa hutaruhusiwa kuingia tena Kwa muda USA kwasababu utakuwa "stayed out" wenyewe wanaita.
AHSANTENI SANA
Naruhusu kukoselewa vikali sana kwasababu haya ni Kwa mujibu wa uchunguzi wangu huenda wengine wanajibu tofauti
Ina make sense...Wako wengi mno, serikali haiwezi kutoa ajira hata kwa robo ya population. Ni lazima watoke ili waishi.
Mkuu huku mjini wazazi chumba na sebule, hawamiliki, bali wapangaji.. Ni shida tupu .. na ndio kundi kubwaTanzania unaweza kumaliza darasa la 12, kama wazazi wako wana shamba wakakutia sehemu na ukalima na kufuga mbuzi, kuku na bata. Unaweza kujenga nyumba ya matofali ya kuchoma vyumba vitatu, kununua mabati, ukaoa na kulea familia.
Dunia nzima umasikini uliopotiliza uko mjini. Hata huko kwenye nchi zilizoendelea. Nafuu yao ni kuwa ustawi wa jamii unasaidia.Mkuu huku mjini wazazi chumba na sebule, hawamiliki, bali wapangaji.. Ni shida tupu .. na ndio kundi kubwa
Wewe unauza mazao gani?Bongo kama huna aibu fursa kibao sana ndugu. Komaa na biashara za mazao kwa mfano unatoboa mapema asubuhi. Ni aibu kwenda kusafisha vyoo nchi za watu
Hizi nyimbo kuna muda mtu unachoka kuzisikia.Bongo kama huna aibu fursa kibao sana ndugu. Komaa na biashara za mazao kwa mfano unatoboa mapema asubuhi. Ni aibu kwenda kusafisha vyoo nchi za watu
Ndio inawezekana kabisa. Inategemea uko state gani. Cha msingi ni kuwahi ukifika tu kabla visa yako haijaexpire ukaombe leseni temporary inaitwa. Visa yako ikishaexpire kurenew inakuwa rahisi wanakupa mpaka miaka nane. Kama ulikuwa na leseni ya bongo hiyo ndiyo itakayokusaidia kupata leseni Marekani hivyo leseni ya udereva ya bongo usiiache.Hivi DMV wanaweza kukupa leseni ya udereva bila kuwa na SSN?
Sina ID mbili.tujiepushe kuwa na Shuku mbaya ni dhambi mbaya sanaHii miandiko inafanana sana nyuzi zote za kimagumashi unakuta kamwandiko hakohako lakini Id ndio tofauti
Hii inakaa poa sana.Huyu dada aliniambia hicho chumba chao ndiyo mafikio ya marafiki wote wa mume wake. Wakija wanalazwa kwenye kochi mpaka wapate kazi wanatafutiwa vyumba vya kuishi.
Yule dada nilipenda jinsi anavyopendana na mume wake. Mume akirudi ananiomba radhi tunakatisha msuko anamtengea chakula kwanza.
Wangu nikijilipua na mimi ntapata nafasi hapo kwenye kochi lenu mpaka nitoboe job, lolWako wengi mno, serikali haiwezi kutoa ajira hata kwa robo ya population. Ni lazima watoke ili waishi.
😂😂😂Utakuwa stayed out babii
Watu wengine bhana wanaropoka tu, wewe hayo mazao ulishawahi komaa nayo au unaleta story za motivation speaker.Bongo kama huna aibu fursa kibao sana ndugu. Komaa na biashara za mazao kwa mfano unatoboa mapema asubuhi. Ni aibu kwenda kusafisha vyoo nchi za watu
Ukishashuka JF Kennedy utaishi wapi? Gharama zipoje?Ooh..?
Wamarekani wanakuja kuwekeza Tanzania halafu School dropouts wanakimbilia US. VirojaUtakuwa stayed out babii
Population Yao Ni ngapi?Mwaka 2017 wanaijeria 10,000 waliomba visa ya CANADA ila waliopewa ni 2450
Hawajakata tamaa