Jinsi wanigeria wanavyoingia USA kila siku

Jinsi wanigeria wanavyoingia USA kila siku

Nikipata kazi ya kusafisha vyoo kwa mshahara wa dola 50 tu kwa saa hapa tanzania nachanachana makaratasi yangu yote,sitahitaji kusafiri kwenda popote kupiga ukware tena,ntaenda kama mtalii,huko mbele umeambiwa ni $100ph
Dola 50 za USA hapa ni siling ngapi? Unafanya kwa 8 hrs hapa hiyo pesa hupati labda uwe mwizi
 
Bongo kama huna aibu fursa kibao sana ndugu. Komaa na biashara za mazao kwa mfano unatoboa mapema asubuhi. Ni aibu kwenda kusafisha vyoo nchi za watu.

Hakuna fursa wala kazi ngumu bongo yenye ela.safisha choo bongo upate elf 5 ,safisha choo ulaya upate kuanzia m1 na zaid kwa mwezi,ukipata fursa ya kwenda nje usije chezea man,
Hizo kazi za kijinga ulaya ukifanya mwaka mmoja unajenga bongo
 
Mchaga anakuja mjini Hana 100 ila anachakalika na kutoboa. Tatizo vijana Wana aibu kuwa mademu watawaonaje Msomi kuuza vocha na kuosha magari in public

Tatizo una mawazo mgando hizo kazi zote ambazo haziitaji elimu kwa bongo hazina ela.utajenga kwa kuosha magari,au kwa kua kibarua wa fundi,hata wenge ajira bdo haiwatoshi mishahara yao,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom