Ntopo Kilebente
Senior Member
- Apr 3, 2021
- 191
- 250
Wacongo, Wakenya Wacomoro wanigeria upeana sana connection Sana nje ya nchi
Wacomoro mpaka kuoana wanaoana ndugu
Wacongo, Wakenya Wacomoro wanigeria upeana sana connection Sana nje ya nchi
Umaskini mbaya sana yani ngazi ya mafanikio unaweza ukapata fursa ukaipanda kabisa ghafla umefika katikati unaona unaona bonge la GAP kisha ngazi inaendelea kwa mbele huko na watu wanazidi kuipanda.Yah! Ukishaingia kwenye hio network maisha yanaweza kuwa mepesi kwa kasi ya ajabu! Ila sasa kuufikia huo mzunguko ndio balaa,,,wengi tupo circle ya tatu chini!
Kambi zipi zaidi zina hizi fursa mkuu hebu elezea kidogo hapa.Tatizo ni wabongo wanaofika majuu kuwa wabinafsi kupigiana "assist" kusaidia wenzao wanaotaka kufika huko.....wabongo waliyoko USA na EUROPE wakifungua roho zao kama wanaijeria wengi watasafiri.
Mimi nina dada yangu wa damu kabisa mama mmoja baba mmoja, ananiambia niende kambini nikakae hata miaka 5 kutafuta nafasi za wakimbizi wanaopelekwa US na UROPA eti niteseke kama walivyoteseka wenyewe kufika CANADA....ingekuwa wanaijeria watu kibao ktk familia wangekua majuu.....lakini kwa kuwa wabongo wana asili ya kubaniana ndio hivyo.
Yah kuna stage ukifikia inakubidi utupiwe kamba ndio ufikie kwenye asali na maziwa! Ila unapaona kabisa ni palee! Ila sasa hao wa kukupa kamba hawakutazami hata kidogo ni sawa na umekabwa na jinamizi unapiga kelele ila aliyelala pembeni yako hata hakusikii japo unapiga yowe na kuchapa mikonoUmaskini mbaya sana yani ngazi ya mafanikio unaweza ukapata fursa ukaipanda kabisa ghafla umefika katikati unaona unaona bonge la GAP kisha ngazi inaendelea kwa mbele huko na watu wanazidi kuipanda.
Sasa unajiuliza hawa watu walioko huku mbeleee kabisa walipitaje-pitaje kwenye hilo GAP.Maana mara nyingi unapofika kwenye gap la ngazi mpka ngazi kwa kawaida huwa unahitaji msaada upande wa pili kwani kufika hapo tu ulipofika si ajabu umeshatumia nguvu na akili nyingi sana.
Wacongo wengi wanaendaga kenya kuna kambi ya wakimbizi,zimbabwe,mozambique.Kambi zipi zaidi zina hizi fursa mkuu hebu elezea kidogo hapa.
Kabisa mkuu......mtu anaona fahari sana awe peke yake huko,unakuta mwisho wa siku anaendekeza starehe huko anakuja kurudi amechoka anaanza kutegemea watu ambao hakuona umuhimu wa kuwapa connection.Anataka uendelee kumsujudia
Mkuu naomba utaraibu na hatua zakufata kuwa exporter wa bidhaa mfano hao mbuziUsiseme TUMESHINDWA sema UMESHINDWA kuexport mbuzi
Ni kweli mkuu, hao madada wa kazi wanawasidia sana ndugu zao/wazi nyumbani.. wana2qtumia pesa ..Hata Oman na arabuni Kazi za unskilled workers zimejaa tele shida ni kwetu kubaniana tu. Kama tumeshindwa hata kuexport mbuzi uarabuni tuxport madada wa kazi wakafanye Kazi kule wasaidie ndugu zao
Tatizo lipo pia kwa wanosaidiwa, ni shida kwa sie watanzania. Kuna watu walitolewa village kuja DSM lakini unawasidia pengine kupata kazi, linaharibu linarudi tena kubanana na wewe hapo kwako. Ok mnabuni biashara aisimamie anaharibu. Unajaribu kumpa mtaji ajitegemee anaharibu tena anarudi tena kuishi kwako.Wacongo, Wakenya Wacomoro wanigeria upeana sana connection Sana nje ya nchi
Boss ukiona mtu abaeleza kitu jua amepitia Mengi sana.watu wamefanya biashara zaidi ya 20 bado mambo magumuKweli kabisa. Wala hana sababu ya kwenda mbali. Aanzie hapo hapo kwao yaani Kibaigwa kwenye solo la Kimataifa la Mahindi
Tunashukulu Kwa ushauri Mkuu.kama nilivyoeleza wengine hawana haja ya uraia wanataka wakachukue mtaji waje wawekeze.PIGA,IBA,UWA,NYONGA,NING'INIZA.-VYOVYOTE ITAKAVYOWEZEKANA.
OMBA/FANYA UFANYAVYO UINGIE MAREKANI NA GREEN CARD,-UNAKUWA ZAIDI YA 50% MBELE YA HATA ALIEINGIA MIAKA KUMI ILIYOPITA MAREKANI KIMASLAHI IWAPO HANA KARATASI.
UNAFANYAJE KUIPATA HIYO GREEN CARD.
1. Itahitaji uwe na Bahati, Cheza /Shiriki DV Lottary (Inachezwa wiki ya kwanza ya Mwezi wa 10 kila Mwaka)
2.Oa/Olewa na mwenye Ukazi wa kudumu au Raia wa Marekani.
3.Ndugu yako wa Damu Mwenye ukazi wa kudumu Marekani( Baba,Mama,Mtoto,Kaka,Dada kama unae anaeishi kihalali 'a-file' Petition/sponsorship kwaajili yako wewe kuhamia huko (Hii inawezachukua muda kiasi kutegemeana na uhusiano)
Nje ya hapo ni Mateso na kubangaiza kwa jasho na muda mrefu tofauti na njia hizo za hapo juu.
Nawasilisha.
Me nawaza mkuu kuna baadhi ya watu wanahofu akikupa msaada unaweza kupiga hatu kimarndeleo kumzidi, labda ndio wanachohofia?Kabisa mkuu......mtu anaona fahari sana awe peke yake huko,unakuta mwisho wa siku anaendekeza starehe huko anakuja kurudi amechoka anaanza kutegemea watu ambao hakuona umuhimu wa kuwapa connection.
Kwani kutoka Bongo mpaka USA nauli ni kiasi gani