Jinsi wanigeria wanavyoingia USA kila siku

MKIBAIGWA

JF-Expert Member
May 25, 2017
520
1,203
Wakuu habari za majukumu

Nimeona Kwa takribani majuma kazaa jukwaa letu limejaa nyuzi za kujilipua namimi nikasema ngoja nijaribu kuandika chochote kuhusu kuingia USA nilichojifunza Kwa Nigeria

Kwenye kitabu cha biblia kuna kisa kimoja cha watu wanaitwa "wakoma wanne" (2 wafalme 7:3-20),Kwa kifupi hawa watu kwenye nchi yao (samalia) kulikuwa na njaa kubwa sana ya kuua mtu, lakini kwenye nchi ya jirani (washamu) ambao ni maadui kulikua na vyakula tele,ila kila MTU aliogopa kwenda kuuwawa na maadui.
Hawa wakoma wanne wakasema kama tukibaki hapa tutakufa na njaa na kama tukienda Kwa washami jeshi lao litatuua,wakaamua ni bora wakafe Kwa washami Kwa jeshi kuliko kufa Kwa njaa.

Hii ndio njia kubwa wanayoitumia wanigeria kwenye kuomba Visa kuingia USA.
nchi zetu hizi za Africa ni failed state

mazingira ya kibiashara mabovu,
Sera za kodi mbovu
Ajira ndo usiseme (mfano tz watu wanaomaliza kila mwaka ni 800k to 1m Kwa mujibu wa NBS) wakati ajira zinazozalishwa ni approximately
Nimekuwa nikijaribu kufuatilia njia halali za kwenda USA nikataka kujifunza Kwa wa Nigeria wanavyofanya nikaingia kwenye platform yao inayofanana na JF hapa kwetu iitwayo nairaland.com kuna vitu vingi sana nimejifunza hasa kwenye uziwao uitwao
Re: General USA Student Visa Enquiries-part 16
Ukiingia hapo utakupa wanatoa tips namna walivyokosa Viza na namna walivyopata visa kuna pages nyingi sana karibia 170.hope mtu akimaliza hapo atakuwa amejifunza kitu na wengi wanaomba kwenda kusoma.

KWANINI USA
Nchi za wenzetu zilishaendelea sana na kipato Chao ni cha juu sana fikiria dereva wa uber/Trucks kulipwa $100/hr hakuna mfanyakazi wa kawaida anaweza kumfikia Tz hii.kwahio wanaenda kukusanaya pesa baada ya miaka 5 hadi 10 wanarudi na mitaji yao.

KUHUSU KAZI NA SSN
Watu wanaoenda USA hutofautiana kimalengo wengine kusoma kweli wengine kutafuta kazi.
Sasa iliupate kazi kihalali USA inabidi upate SSN (social security card No) ambayo inatolewa na SSA ( social security Administration) kupitia wizara ya mambo ya ndani na ulinzi (DHS).
Kwahio kama ulienda kimasomo unaweza kupata kazi Kwa mda wako ambao utakuwa upo huru.

ILA Kwa wewe ambaye ulienda Kwa njia nyingine halali ila huna uwezo wa kupata SSN itakubidi utumie njia zifuatazo ili ufanye kazi
1.utafute kazi maeneo ya mijini ndio kuna mchanganyiko wa watu si rahisi kufuatiliwa na immigration (usiende miji midogo yenye wazawa wengi)

2.utafute mtu akupe SSN yake uitumie kuanya kazi Kwa makubaliano.

3.jifunze vitu ambavyo haviihitaji uwe na SSN mfano driving (upate lesseni)

4.kama unataka kusoma na hukwenda kwa njia Viza ya kusom (F1) tafuta kunavyuo ambavyo hawafuatilii sana mambo ya makaratasi mfano michigan University (Hii sina hakika sana ila fuatilia)

4.ukipata kazi jitahidi sana kutunza mtaji ili urudi nyumbani kufanya kazi zako kwasababu ukitimuliwa hutaruhusiwa kuingia tena Kwa muda USA kwasababu utakuwa "stayed out" wenyewe wanaita.

AHSANTENI SANA

Naruhusu kukoselewa vikali sana kwasababu haya ni Kwa mujibu wa uchunguzi wangu huenda wengine wanajibu tofauti
 
Bongo kama huna aibu fursa kibao sana ndugu. Komaa na biashara za mazao kwa mfano unatoboa mapema asubuhi. Ni aibu kwenda kusafisha vyoo nchi za watu.
 
Wabongo bado wengi waoga kwa kujilipua
 
Back
Top Bottom