Mimi naishi new jersy mkuu, hivi unajua ukiwa na driver license ya marekani ni kwamba wew una document halali,
Fanya kama huna document hayo makosa yako wanaandika wapi au record,
Watu wanachokifanya wanatumia internation driver license, hawa huwa mawakala tu hii wakikushika watakuambia katafute halali .
Drive license huwa inatumika kama, ssc, travel document , ID. Hii inakutambulisha wewe ni nani na unaishi wapi.
State kama New York huwez kupata kiraisi. Kuna interview unafanya watakupa LP. Hakuna mkato mkuu.
Ingelikuwa ni raisi hivyo mbona waspanish wengi wangekuwa nazo.