HeheheHata zile thread za kutafuta wachumba sio nzuri kabisa kiafya
Umeinaee sasa toa maana ya wana usalama sasa wa tz!!akili nusu nguvu kontenaDefenda imechelewa tukio la ujambazi wewe kwa jeuri yako chukua kopo la maji tupia mule kwa dereva. Ndo utajua la msingi na la chuo lipi??
Hizo ni level Nyingine hizo tuziache kwanza mpaka utafwe hivyo unakuwa umekithiriHizo ni mbinu za level ya chini sana kwasababu hizo mbinu zote ulizoeleza hazishangazi kana kwamba mtu amefikiria saaana/critically.
Nina imani hawa jamaa wakitaka kukuchungulia ni mara moja tu hasa ktk zama hizi za mitandao. Si ajabu hata unapotumia simu au computer ukachukuliwa image yako bila kujua.
Jiulize isue ya udukuzi inakuaje
Tupa iyo safi sim yako (smart phone) uishi ayo maisha ya kizamani.Ukiishi kizamani Usasa hautakukamata
StakiTupa iyo safi sim yako (smart phone) uishi ayo maisha ya kizamani.
I will catch you baby, I wanna put you in in my safe hands😎😎😎tutachat,tutataniana,tutaflirt hapa and everything ila namba yangu sijawahi fikiria kutoa...
na wala mazoea ya kujuana sana NO...coz i trust no one...
labda uniloge kutumia avatar yangu[emoji27]...ila no way hutaweza pia[emoji38]..i gat Jesus...
[emoji28]never...I will catch you baby, I wanna put you in in my safe hands😎😎😎
I'm not joking, usije ukashangaa unaingia chumbani kwako unanikuta kitandani nimejipumzisha.[emoji28]never...
Unaona ni simple kulezea njia zote kuhack kuna weza kuchukua days hata months na humu JF sio mahal pakuropokaTypical TZ yani,unajua majibu alafu unazingua!mwaga mchele hapa
Miss Natafuta, Mamaa Facebook, kazi kwenu
ananipotezea tu wachumba wangu humuNa anatafta kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ananipotezea tu wachumba wangu humu
[emoji28] [emoji28] [emoji28]ananipotezea tu wachumba wangu humu
wivu tuMiss natafta wanakupotezea wachumba haha
Hehehewivu tu