Jinsi wanausalama wa mtandaoni wanavyowapata watu

Jinsi wanausalama wa mtandaoni wanavyowapata watu

Yanini niumize kichwa ilhali sifanyi kosa.
haya naona mwenzetu hujali kuhusu freedom of privacy hata kama mtaa mzma ukija kukuchungulia nyumbani kwako dirishani ww hautamind kwasababu hufanyi kosa lolote
 
sio
Navyofaham uchunguzi wa kiusalama mwingi huwekwa kwenye keyword search

Wao wanakuwa na search engine yao kwa ajili ya kusearch keywords zao na kila unapopost ina trigger kwenye

Dictionary yao

Mfano wameweka neno raisi

Ukipost neno raisi wanajua kisha wanaanza kufuatilia aliyepost nani.

Watakusanya post zako wata analyze kisha watakuja na mipango kama wewe ni threat au la.

Hapo ndo hatua zaidi hufuata kama kukudua na mengineyo
iLi uweze ku implement search engine ka hyo either unahitaji uwe na access na API ya jf ambayo itaku allow utumie seacch() furctions(jina nimetunga mm cyo implementation yenyewe ya jf) ambayo jf wanaitumia kukuletea searches au utafte vulnerability kwenye database ya jf ambayo itaku allow ku pull requests mfano sql injection ambayo nadhan admin wetu wanalijua hlo.All in all mimi nipo skeptical sana kama hyo engine wanayo.nadhani wanachofanya ni ku login in kama normal user na kuanza ku search kawaida na hzo keywords
 
Haita kusaidia,labda utumie simu moja kwa kila jukwaa,na iwe na laini tofauti na mwezake,balaa ni kuwa laini unayo tumia lazima iwe imesajiliwa kwa jina lako.

OGOPA SANA SIMU ZILIZO SAJILIWA KATIKA MADUKA YA VODASHOP,TIGOSHOP e.t.c
Simu location imezimwa, laini ina jina la kike mmiliki wa kiume ambayo ni tofauti na ya mambo mengine, email iliyotumika kufungulia JF haitumiki tena...
 
Juzi kuna mtu akupost mambo yake,alaf akawema link ya fb kuhusu hiyo taarifa,kidogo niingie,nikaikata faster.
Huo ni mtego,obviously ukiingia kwenye hiyo link,hasa hasa za fb,itatambua credential zako kutokana na installation yako kwenye simu yako,hivo automatical itakuunga hapo ukikoment tuu,itatoa muungano wa fb + jf UMEKWENDA NA MAJI.
We mjanja sana ndugu
 
Simu location imezimwa, laini ina jina la kike mmiliki wa kiume ambayo ni tofauti na ya mambo mengine, email iliyotumika kufungulia JF haitumiki tena...
Tatizo sio line ni handset hiyo hiyo unaitumia kufanyia kila kitu watakukamata tuu sehemu.
 
Back
Top Bottom