Jinsi nilivyotongoza jini bila kujua

Jinsi nilivyotongoza jini bila kujua

Mimi Ni jini wako hapa JF
Tuambie kwanza hii sabuni umeogea mara ngapi tokea uwe mkubwa🙃🙃🙃
wt7.jpg
 
Story nisha imaliza huku juu[emoji115][emoji115][emoji115]
Mwishowe umemalizia km vile umepata ushindi wa kishindo. Hebu tuambizane nini ulikifanya hadi kupata ushindi kiasi kwamba hata wakija unawapa kichapo tu
Me
 
Acha masihara na majini wewe me kilinikuta kitu hicho stokaa nisahau usiku ulikua ukiingia niliona mchungu [emoji22] na chanzo cha tatizo ni simu yangu hii sina hamu mimi siku tatu mfululizo nilikiona cha mtema koko na sikumwambia mtu yeyote nilifanya maombi ambayo sijawah fanya tangu nizaliwe mpaka akaamua kuachana na maisha yangu huyo jini
Mkuu funguka
 
Back
Top Bottom