Nilikua niko kwenye kipindi na sim ilikua silent nilivyo maliza kipindi nikawa narudi home kuchek sim nkakuta missed call sema ina zero kama tano hivi Kati basi nikapiga ILI nijue nani wakati inaita mlio ulikua ni vyuma vinagongana yaani vurugu tupu badae mtu akapokea hello hello nikauliza nani akasema mi jini nikacheka nikajua masihara nikajisemea nani mjinga huyu anacheza na akili yangu nikauliza tena KWA mara ya pili wee nani kajibu jini nikakata ila nilivyo fika home roho ikaniambia piga tena kupiga NASIKIA vyuma tena ilivyo pokelewa nikawa NASIKIA kelele za vyuma tu nikaogopa kisha nikakata sasa usiku huo balaa likaanza