Jinsi nilivyotongoza jini bila kujua

Jinsi nilivyotongoza jini bila kujua

nipe nambaako ya simu nahitaji kwako urafiki please basi demu akawa kimya kwa muda wa dk3 then akaniambia lete simu yako akaandika nambaake akasave jina lake mariam akanipa simu na kuondoka. Nilipatwa na furaha sio ya kifani kufanikiwa kupata namba ya demu mkali kama yule.
Halafu nasikia Majini wanapenda sana kutumia Vodacom au Zantel... si kweli enh?!
 
Basi asubuhi kama mungu nikakutana na asha mjukuu wa bibi kazikale katika kupiga stori nikamuuliza kwenu kuna mgeni?
Akanijibu hayupo mgeni mbona jibu lililonipa mshangao then akaniuliza kwanini umeniuliza hivyo? Nikamwambia unamjua mariamu?
Akashtuka..

Itaendelea
Duh! E bhana eee!!

Mi natabiri hata huyo Asha nae atakuwa jini tu huyo, bisha?!
 
Story za itaendelea haijawahi kuwa na mwisho

Ukifika mwisho unitag mkuu coz nipo ktk experience ya kutafuta jini wa kudate nae coz hawa wanawake wa kawaida tunaelekea kushindwana

Nataka nipate changamoto mpya
Mkuu simulizi inaendelea now nilikuwa bussy jana
 
Inaendelea sehemu ya 03
********************************************
Basi wakati nikiwa pale kitandani nawaza mariamu alipomaliza kufanya usafi na kupika akanikaribisha chakula kiukweli ni mwanamke anaejua kupenda sana akaniambia mume wangu mbona kama leo una mawazo sana kuna nini??
Nikamjibu hapana nipo kawaida basi tukala chakula ulikuwa wali na samaki lakini mariamu muda mwingi alikuwa akiniangalia sana anasema leo sina raha nawaza nini kwani? Wakati tupo tunakula ikabidi nimuulize mariamu hivi kwanini ulinidanganya?
Swali lililompa mshangao akanijibu nimekudanganya nini?
Nikamwambia ww unakaa wapi maana unajua sielewi jana nimekutana na asha nimemuuliza kuhusu ww amesema hakujui ww unakaa wapi niambie tu ukweli?
Mariamu akacheka sana akasema nikwambie kitu naona hauniamini haya leo nataka nikupeleke kwetu halafu asha alikudanganya sijui anakutaka nini ?
Nikamjibu basi tukishamaliza kula leo nataka nipajue kwenu basi tulipomaliza kula tukanya sex na mariamu kiukweli ni mwanamke flan mtamu sana na anaejua mapenzi alikuwa akinipa upendo wa kutosha mno na alipenda kuakikisha namaliza haja zangu zote then tulipomaliza basi tukaenda kuoga leo kwa mara ya kwanza ndio naiona sura ya mariamu tukiwa bafuni ni mtoto mmoja mrembo sana alikuwa ana nywele za kiarabu ana nywele ndefu mno kiukweli ni mrembo haswa hadi nikawa najisemea kimoyoni huyu mwanamke mbona mzuri kupindukia,
Basi baada ya kuoga nae akavaa hijabu lake na nguo zake na mimi nikavaa tukaondoka kuanza safari ya kwenda kwa kina mariamu sasa nilipofika njiani nikakutana na wanangu wakawa wananiambia kaka mbona spidi spidi unaenda wapi hapo nipo na mariamu nikawaambia npo na shemeji yenu hapa namsindikiza kwake? Wakasema ww siku hizi umeanza kuvuta bangi nn mbona upo pekeeako shemeji yupo wapi? Swali lililonishtua kumbe mariamu alikuwa hawamuoni wao mimi ndie ninaemuona tu lakini cha ajabu eti fikra ikaja kichwani kuwa labda washikaji wananitania tu nikawajibu haya bhana nikamvuta mariamu na kuanza kwenda nae sasa baada ya mwendo wa mda mrefu tukafika hadi pale pale kwa kina asha kwa bibi kazikale sasa cha ajabu asha alisema hamjui mariamu akatoka ndani na kumkumbatia mariamu na kumwambia dada kumbe ulienda kwa huyu bibi alikutafuta sana,
Ghafla mariamu akaniuliza sasa umeniamini???
Wakuu nitaendelea kesho
 
Yaaan hapa ndo unamuona sura kwa mara ya kwanza,,,,. Mkuu ulikua unamgegeda mtu bila kumuoma sura,, hadi mara ya tatu.?
 
Inaendelea

Ndipo bibi kazikale akanivuta ndani kwa hasira na kuniambia kwa nini nme muiba mariamu bila ruhusa yake.. Kama nataka kuishi nichague kua msukule au nimchape na mpini kama mnavyo jua uhai una raha yake faster nika mchoresha saba 7 na kuchomeka...

Bibi kazikale aliikua na joto sana aliilia kwa saut za mahaba sija kaa sawa asha na Mariamu wakaingia ndani wakiwa watupu nilitembeza mpini siku nzima. Nkalala hapo hapo. Asubh nkaamka nme laliwa na punda kumbe mda wote nlkua nafanya punda majini sio poa[emoji25][emoji25]
 
Dah mwamba umeamua kutunywesha chai ya magadi kabisaaa duuh haya bana tunakusikiliza...
 
Acha masihara na majini wewe me kilinikuta kitu hicho stokaa nisahau usiku ulikua ukiingia niliona mchungu [emoji22] na chanzo cha tatizo ni simu yangu hii sina hamu mimi siku tatu mfululizo nilikiona cha mtema koko na sikumwambia mtu yeyote nilifanya maombi ambayo sijawah fanya tangu nizaliwe mpaka akaamua kuachana na maisha yangu huyo jini
 
Back
Top Bottom