kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 332
- 948
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale nije kwenye point, mwaka 2016 nilipatwa na balaa baada ya kuanzisha mahusiano na mwanamke ambae ni jini bila kujua.
Kipindi hicho nilikuwa nipo Morogoro sehemu fulani x sasa mimi kipindi hicho nilikuwa ni mtu ninaependa sana kucheza mpira wa miguu na mcheso ambao upo damuni japo now kutokana na majukumu ya hapa na pale nikaamua kuutelekeza kipindi hicho watu mtaani walikuwa wakiniita radamel falcao[emoji39] nilikuwa napenda kucheza nafasi ya mshambuliaji wa kati namba 9
********************************************
Kipaji changu cha mpira kilinifanya niwe maarufu mtaani na kupata marafiki wengi sasa nakumbuka siku moja nipo uwanjani tulikuwa tukifanya mazoezi na wanangu kwaajili ya kujiandaa na mechi nikamuona mdada mmoja mrefu amevaa hijabu ni ostadhati alikuwa akipita barabarani unajua uwanja wetu umepakana na barabara so nilipomuona nikajawa shauku ya kutaka kumfahamu zaidi basi ikabidi niendelee na kile nilichokuwa nafanya tulifanikiwa kushinda mechi yetu hiyo kwa goli 2 kwa moja nakumbuka katika mechi hiyo iliyokuwa derby ya mtaa wetu x niliweza kufunga goli la ushindi kwa kichwa nikiunganisha kona iliyopigwa na mwanangu sana mido ya kabumbu side baada ya game nikaenda maghetoni kwangu basi siku ikawa imepita hivyo.

Ilikuwa siku nyingine tulivu nilikuwa natoka maghetoni kwangu nikiwa nimeshika viatu vyangu naelekea uwanjani mara ghafla nikakutana na yule mdada niliemuona jana uwanjani ikabidi nimsimamishe samahani dada mambo vp? Akanijibu poa kwa sauti ya chini ya maringo
Samahani dada kiukweli toka nimekuona jana uwanjani pale nimetamani nikujue kiundani hata jina lako ikabidi nimwambie hivyo then akanijibu mmh sina muda huo ww kakaa akawa ameanza kuondoka
Majibu yake yalinikatisha tamaa lakini mimi uwa natabia ya kuwa king'ang'anizi nikamwambia dada mimi ni mtu poa sana sina nia mbaya na ww kama hautojari nipe nambaako ya simu nahitaji kwako urafiki please basi demu akawa kimya kwa muda wa dk3 then akaniambia lete simu yako akaandika nambaake akasave jina lake mariam akanipa simu na kuondoka. Nilipatwa na furaha sio ya kifani kufanikiwa kupata namba ya demu mkali kama yule.
*******************************************
Siku zikasonga mimi na mariamu tukizidi kuwasiliana kama marafiki wakubwa zikapita siku, miezi na atimae mimi na mariamu tukawa tumeingia katika penzi zito upendo wangu na mariamu ukawa mkubwa lakini siku zote tulizojuana nilikuwa sipajui anapoishi na yeye alikuwa hajawahi kufika kwangu sasa nakumbuka siku moja tukiwa tunachati mariam akaniambia babe kesho nataka nije kwako nitakuja jioni saa kumi basi nikamwambia sawa
Hatimaye siku ikafika akanicheki akaniambia tukutane pale uwanjani mimi nakuja hapo njoo, mtoto akatimba uwanjani pale kiukweli mtoto alikuwa kapendeza ananukia marashi kiufupi alikuwa ni mrembo haswa basi nikawa nimeshika mkono hadi kwangu tulipofika tukaingia ndani mariam akaniambia bebe ila ghetto lako pachafu kweli [emoji1] nikamwambia bebe siunajua sisi wanaume bhana basi mtoto akaa kitandani lakini cha ajabu toka nimefahamiana nae alikuwa mda wote anavaa hijabu sura yake kaifunika tu naona macho tu sema sikuwaza sana maana nikajua ni mwanamke alieshika dini mno
Tulifanikiwa kufanya mapenzi mariamu alikuwa akinikumbatia na kuniambia ananipenda sana basi ilikuwa ni siku amaizing sana kwangu na mariamu kukutana kimwili basi ilipofika tu saa kumi na mbili mariam akaniambia baby nataka niondoke niende nyumbani nikamjibu si ulale tu akasema hapana siku nyingine basi ikabidi nimsindikize sasa tulipofika pale uwanjani akaniambia baby wewe ishia hapa mimi nimeshafika sasa kitu cha ajabu ni kuwa kila siku mariamu alikuwa hataki nipajue anapokaa nikamuuliza kwani kwa hapa nyumbani wapi akaniambia siku nitakupeleka usijali basi akaniaga akaanza kunyoosha barabara alipokuwa anaenda mbele kuna msitu then ukipita huo msitu uwa kuna nyumba moja tu ya bibi mmoja anaitwa bibi kazikale na huyo bibi ana wajukuu wawili wa kike aminah na asha najuana nao sasa nikawa najiuliza ina maana mariamu atakuwa anakaa kwa bibi kazikale?
Basi asubuhi kama mungu nikakutana na asha mjukuu wa bibi kazikale katika kupiga stori nikamuuliza kwenu kuna mgeni?
Akanijibu hayupo mgeni mbona jibu lililonipa mshangao then akaniuliza kwanini umeniuliza hivyo? Nikamwambia unamjua mariamu?
Akashtuka..
Itaendelea
Muendelezo Soma HAPA