financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,175
- 40,850
- Thread starter
- #141
Ahsante sana mkuu kwa ushauri mzuri kweli nilikua namnyenyekea na kumwomba msamaha sana ila ni kama anafurahia nnavouumia juu yake.๐ชAcha kuonyesha unyonge wako kwake..
Binadamu tuna asili ya kufurahia watu wengine wakiteseka kutokana na kutokuwepo kwetu katika maisha yao, inafanya tujihisi sisi ni wa muhimu sana.
Kwa hiyo, kama umekuwa ukimuonyesha kuwa unaumwonyesha wewe ni dhaifu sana bila yeye ukiamini kwa kufanya hivyo utamfanya arudi, ndugu yangu huduma za kifedha utakuwa unajiumiza mwenyewe zaidi.
Nakomea hapa, ngoja niwaache na wengine wajazie nyama..
Kila lenye heri dada huduma za kifedha..