Jinsi gani naweza ku-burn CD icheze kwenye deki?

ymollel....hilo file la nero nmelichukua ila wakat nafanya instalation..ikakata katkat ikasema file has corrupt...failed....so ikabd niachane nalo...kama kuna uwezekano wakupata nero iloyo full bla missing file naomba nisaidie kaka.
 
Jaribu ku download tena. Hilo file nimeupload kwenye dropbox yangu na iko powa.
 
Back
Top Bottom