From Arusha to Dar -Kuendelea na kazi ya ku burn CD

muonamambo

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Posts
879
Reaction score
551
Nchi hii kuna watu wanapewa vyeoView attachment 1483932 bila kuangaliwa uwezo wake wa kuongoza.

Unampaje ukuu ...Mtu mwenye experience ya ku burn CD Na kuingiza nyimbo kwenye Flash.?

No wonder mikoa mingi haiendelei? . Mikoa ina rasilimali watu Na rasilimali fedha lakini miaka mitano , mkoa Upo vile vile ..

Bora arudi tu kwenda ku burn CD Na kuweka nyimbo kwenye Flash
 
Mkuu mpya wa mkoa wa Arusha ni yule aliyesema ni bora wapinzani wauwawe tu. Inashangaza jiwe amemchagua mfedhuli huyu.
 
Nyinyi ndio mnasabisha watu wapewe machaka mengine.

Mna majungu sana.
 
Nchi hii kuna watu wanapewa vyeoView attachment 1483932 bila kuangaliwa uwezo wake wa kuongoza.

Unampaje ukuu ...Mtu mwenye experience ya ku burn CD Na kuingiza nyimbo kwenye Flash.?

No wonder mikoa mingi haiendelei? . Mikoa ina rasilimali watu Na rasilimali fedha lakini miaka mitano , mkoa Upo vile vile ..

Bora arudi tu kwenda ku burn CD Na kuweka nyimbo kwenye Flash
Wewe ulie na elimu ya juu umefanyie nini hili taifa, acha maneno maneno
 
Mwenzako aki_fail ndiyo furaha yako, huu ndiyo uafrika kwa kawaida, wengi wanashangilia wakiona mwenzao kadondoka kutoka kwenye mafanikio.

"You can't breath"
 
Back
Top Bottom