Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu
Nakuweka katika maombi yangu Mkuu
 
Ebwana eeh kwa upande mwingine mimi nipende kukushukuru bwana insider man,kwa story yako,ilikuwa nzuri sana,mimi nilitaka umle tu huyo manzi na hapo ndo utakuwa mwisho wa story kwangu,wengine endeleeni na mtaalamu mpaka mwisho..Kuhusu jr namuombea Mungu awatumie madktari vyema ili wamponye..adios
 
Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu
Tuko pamoja kaka mungu ni mwema atapona
 
Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu
mungu awe baby
 
Ooohoo Pole Sana Kwa Jr wetu MUNGU WETU amfanyie wepesi apate nafuu na apone kabisa MUNGU ni mwema atakua sawa
 
Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu

We surely have become your relatives. Sio kwa kufuatilia huku kuhusu maisha yako!
Be well soon Junior!!!
 
Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu
Mungu wetu ni mwema sana na mwenye Nguvu, Atamponya na atamlinda Kaka, Damu ya Yesu iwafunike🙏
 
Back
Top Bottom