Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

h
Arsenal akichukua ubingwa J2, nitapost picha nikiwa na Iryn kwa dakika 1 na nitaifuta. Otherwise tukutane kesho kwa chapter 10 βœ…
apo ni kweli kjana wa mungu mana s unajua kuna wengne makenge hawaamini mpaka watoke damu
ila uwe unatupia na pcha yan kama ulkua fild yani ili upate credit za kutosha mana iman imetoweka sana uzi wa uhakika watu makenge yan haiamn
 
Mpaka sasa credit anazo mbona we fatilia tu kuna wale wanafatilia kimya kimya na kuna sisi ambao tumejiweka wazi tu kufatilia na comment juu mi jamaa nimemkubali ana hadithia vizur wala sioni haja ya picha tusije kutoka nje ya reli bure uoneshwe picha ya iryn au ya hiyo audi upanic bure,, bora twende hivi hivi mkuu
 
Screenshot_20240515-091452.png
 
Back
Top Bottom