Kapu la point tatu za Team kataa ndoa

Black poison The Factor

JF-Expert Member
May 31, 2020
852
1,257
Kwa hali hii nioe kweli?

Kuna uncle wangu juzi kanywa sumu kisa amemfumamia mke wake.

Huyo mke wake ni kicheche wa hatari hata mm hapa factor nimekimbiza sana lile gari,
Kipindi hicho jamaa alikua hamruhusu kutumia simu,, sasa siku hio aliiweka kwenye beg akawa amesahau kuizima,, ikawa inaita kwa vibration jamaa si akaiskia akaichomoa. Baadae anamuuliza mke wake simu yanani hii jibu hakuna pondo likaanza. Baadae akaipeleka kwa wazazi wake wakaanza kupekua namba sasa..

Yakwangu ilikua imepigiwa mara mia tatu na ushenzi hivi,, mara kupiga mara mia na samusingi.

Zikafata za wadau wengine ambao walikua wanahisiwa.

Ikabidi pale kwenye kikao kila namba aeleze alikua anaongea nayo nini.

Kwa bahati nzuri Mimi jamaa alinitetea yeye mwenyewe akasema uncle wangu hawezi kufanya hivyo.. ila wengine walipigia mstari kwamba napiga. Baada ya kikao akanipigia simu nikamtembezee huduma nikakataa kabisa, alafu ananambia acha kumuogopa fala yule.

Sasa juzi tena amemfuma na jamaa yangu mmoja hivi akamtandika kinoma mpaka akampeleka office ya kata akalala pale.

Muda huo mke yuko hospital kwa kipigo heavy.

Sasa kwenye kesi yao ilipoanza kusikilizwa si akashindwa na kuwekwa ndani kwa muda,,(wazee wa Baraza walichukua chao mapema/rushwa) ikaonekana jamaa kazingua kwanza amempigaje mwanamke mpaka alazwe???.

Baadae wakamuachia aende nyumbani akawaone watoto. ndio ikawa ticket ya kwenda kunywa sumu wakajikuta wamelazwa wote tena. Ni balaa tupu.

Hapa bora tu NIKATAE NDOA.
 
tatizo mjomba wako kaoa chawote wala usilaumu wanaooa kisa huyo mpumbavu mnayechangia wana familia.
Sahihi kabisa, mtu kaoa malaya halafu unasema ndoa mbaya, kuoa kuna taratibu zake lakini unamuona mwanamke Bar ,hujui ata wazazi wake, na ww hushirikishi wazazi wako, kisa tu ana sura nzuri na matako makubwa unamuoa halafu unasingizia ndoa mbaya.

Sijui nyie wakristo mna vigezo gani vya kuoa, lakini sisi Waislamu tumeshauriwa tuoe Mwanamke mwenye dini, sio mwenye sura au tako kubwa.

Na ili awe na dini lazima awe na sifa hizi
1. Muislamu,
2.Muumini
3. Mtiifu,
4. Mwenye kutubu,
5. Mwenye kushika ibada,
6. anaefanya kheri,
7.Bikra

Sasa nyie endeleeni kuokota kina gigy money na amber Rutty huko majiani halafu mje kulialia hapa kua ndoa ni mbaya
 
Kwa hiyo wanawake wa Islam hawafanyi uasherati anyway kifupi ni wanafanya na mabaibui yao
 
Back
Top Bottom