KIBEBA BEBEA
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 244
- 279
Kiazi hichoUkisha fanya hivyo inakusaidia nini....? Hii inadhihirisha hauna kazi za kufanya. Halafu kwa mtoto wa kiume this isn't normal bro
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Kiazi hichoUkisha fanya hivyo inakusaidia nini....? Hii inadhihirisha hauna kazi za kufanya. Halafu kwa mtoto wa kiume this isn't normal bro
No king'amuzi,mlio wa kilugha kama upo kwa mganga,...Ndugu yangu unavimba kichwa sana na huyo irin, Dodoma kuna pisi zinatoka babati aloo, shombe shombe za Tabora kibao.kwakweli umesema uwongo. Hiyo ni uongoo..
Bwabwa yuleKwani umelazimishwa kusom hii story?,pita hivi usitujazie serva tu hapa
Tatizo sio pisi kali tatizo ni ujazo wa pisi ...pisi inamiliki nini...hizo zako zinazo miliki matako na smart phone na kupiga hadi mizinga ya pedi kaa nazo na ingekua ni pisi ya hivyo watu tusinge ielewaNdugu yangu unavimba kichwa sana na huyo irin, Dodoma kuna pisi zinatoka babati aloo, shombe shombe za Tabora kibao.kwakweli umesema uwongo. Hiyo ni uongoo..
Kama basi kigezo cha mtu kutokukosea ni muda wa kujiunga jf basi ndio ile theory ya mkubwa hakosei.Nimejaribu ku-review umeijua lini JF nimegundua kumbe ni 2022. Fyi nimeingia humu ndani ya JF 2011 sijui ulikuwa wapi so ni uamuzi wako KU-TRUST au KUTO-TRUST, na by the way NINAJUA beyond no shadow of doubt kuwa humu ndani kuna wengi WANAOJIELEWA na wapuuzi wachache mfano mmoja wapo unaweza kuwemo.
So, endelea kuruka ruka maana naona hata comment yako inajikanganya kuhusu maana halisi ya kuruka ruka.
Ushauri, endelea kula ujana maisha yenyewe mafupi.
...na ww una-miss a huge point, rudi kusoma comment yangu then ndio uje hapo.Kama basi kigezo cha mtu kutokukosea ni muda wa kujiunga jf basi ndio ile theory ya mkubwa hakosei.
Sawa amejiunga 2022 so what?
Asikurekebishe hata kama umekosea au namna gani?
Acha hizo mkuu umepuyanga hapa mtu ameleta tu story ya maisha yake tujifunze hata unakosemea ni kuruka ruka ujue wazi pia ni somo kwetu.
Ambaye bado anaonyesha hisia waziwazi ni nani happy?Nami nichangia kwa kuomba ushauri kidogo.
Hii incidence ya Mary kumpenda INSIDER MAN kimapenzi ilhali akijua kuwa jamaa ameishakuwa na mahusiano na mdogo wake wa kuzaliwa tumbo moja kimaadili imekaaje wakuu?
Mimi sio kama INSIDERMAN ila ninakabiliwa na changamoto ya dada mtu kunitaka kimapenzi wakati nilishakuwa na mahusiano na mdogo wake hapo kabla. Kwa sasa hatuko pamoja ingawa bado anaonyesha hisia waziwazi.
Insider huyu dada umemkazia PM? mbona ana gubu sana?Kak Sasa hyo kujuwa Ni wapi itasadia nn kwenye story alfu wee Ni bonge moja la mshamba Basi tu hujijui kuwa Ni mshamba sna kupiga picha na Kisha kuhoji hapa HV Ni wapi ?😏 Ni akili unazo au matope umejaza kichwani
Kwanza maliza story yako acha kujifanya unafanya review kila siku ili tu kufikia malengo yako uliyopanga na sijui unapata faida gani kuchelewesha hi chai yako ,kma Ni umaharufu Bado Sana hutapata Happ jamii forum kuwaziid kina mshanna , gentamycine ,pascal na wengine kadhaa ila wewe Bado Sana utakaa Sana Hadi upate umaharufu Kam kina umughaka
Miezi 3 uzi una views 3 million, sio jambo dogo. Kuna watu wana nyota by natureKuna watu Wana bahati ya kupendwa kwenye hii dunia nyie acheni tu!!
Laiti ningepewa nafasi Moja ya kuchagua nikitakacho kwa hii dunia...
Basi ningechagua nafasi ya INSIDER MAN bahati ya kupendwa kulikotukuka na hao viumbe...
Magari, fedha na takataka za kufanana na hizo, umaarufu...n k.....Ningewaachia nyinyi!!
Not simple as you think, na hapa nampa sifa kafanikiwa kutumia code kubwa sana. Unafikiri yeye hajui mkiijua salon kila kitu kimejulikana?Katika hii Hadithi ni simple sana LU-DECODE, Baadhi ya taarifa :-
1.Jina la Saloon ndio ilikuwa ni code kubwa ya kwanza
2.Mwandishi mwenyewe
3.Mzee Pama
4.Ugonjwa na Hospital aliyolazwa Pama
5.Kama Saloon ipo maana code ya Iryn simple kuifungua
6.N.k n.k n.k
Otherwise, tuendelee kusoma utunzi wa Kijana mwenzetu.
Nakuweka katika maombi yangu MkuuNdugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.
Maombi yenu
Tuko pamoja kaka mungu ni mwema ataponaNdugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.
Maombi yenu
mungu awe babyNdugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.
Maombi yenu