Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu

Ooohoo Pole Sana Kwa Jr wetu MUNGU WETU amfanyie wepesi apate nafuu na apone kabisa MUNGU ni mwema atakua sawa
 
Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu

We surely have become your relatives. Sio kwa kufuatilia huku kuhusu maisha yako!
Be well soon Junior!!!
 
Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu
Mungu wetu ni mwema sana na mwenye Nguvu, Atamponya na atamlinda Kaka, Damu ya Yesu iwafunike🙏
 
Sijasema Kijana apite nao wala nn, hayo ni MAONI YANGU na yatabaki hivyo...

Chamsingi, wewe pamoja na hao VIJANA wenzako endeleeni kuruka ruka na huyu na yule(kama muandishi) ila MUDA NI MWALIMU MZURI.

Kinachosumbua rika vijana wanadhani kuvua vua chup* ndio URIJALI but trust me ni USHAMBA kama USHAMBA mwingine and I can prove with facts.
Hakikishaa Basi tuone na hizo facts zako. Kama huelewi mwanaume anahitaji mahitaji mawili hapa duniani tu ambayo Ni sex na success.

Mwanaume kazi yake Ni kut00mba tu na kutafuta chakula Kama swala dumw anavyotembea na majike 30 kazi yake Ni kutafuta malisho. Hakuna mwanaume akaumbwa kuwa na mwanamke mmoja yaani hii haipo Ni Ile tu watu wanapingana na asili ama nature.

Sasa mwanaume hawezi kut00mba tu inabidi Sasa atafute chakula,mahala pa kulala ndio Mana anakuwa bize mno mpaka anasahau kazi ya kuzaliana.

Mabbabu wa mababu walimiki wake kibao kabla maisha hayajawa magumu. Uislamu haujafungia macho hili suala sema ukristi wakafunga macho suala ambalo linasumbua mno dunia.

Mfalme Suleiman alimiliki wake around 1000. Mfalme wa ottoman empire aliua concubines karibia 250 akawarusha baharini kisa tu mmoja wao alilala na mwanaume mwingine. Yaani huwezi bishana na asili hata asili imempatia mwanaume tamaa kubwa mno ya kut00mba. Na hayupo Kama yupo Basi Kati milioni wanaoweza kukubali kuwa na mafanikio bila ya kut00mba.

Lete facts zako hapa twende na sio kuwa unatumia subjectivity na biasennes zako kutaka kujifanya kuwa ndio universal principle za universe. Napenda uongee universal principles za universe na universe laws of natures.
 
mm huwa wanakojoa sana tu, kuna mmoja aliniambiaga, N, nakupenda sana ila ktu ninachopenda zaidi kutoka kwako, unajua sana kumuandaa mwanamke.

tuishie hapa mkuu, walimwengu wasije wakaanza maneno, hawanga dogo et,
Ulipie tangazo...... Naona Antonnia is heading to the pitfall🤪
 
Back
Top Bottom