Almanusura usiku wa jana ni nunue dada poa nashukuru boda boda aliyejitokeza mitaa ile

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,850
Ndugu wana jf.

Katika kipindi nimewaona malaika wakinipigania ni usiku wa kuamkia leo ndugu zangu.

Baada ya kuzinguliwa job kutokana na itilafu za mitambo za hapa na pale nikaona hakuna haja ya kurejea home mapema kwenda kupigiwa kelele na mtoto wa watu na vile weekend imeanza nikajisemea acha nikasuuze koo na macho mitaa flani huko mbali

Wakuu kadiri ni livyo kua na suuza koo ndivyo kadiri macho yalivyozidi kufumbwa na shetani. Ilifikia mahali nikaona sasa acha nitafute samaki wawili watatu wa kunitoa wenge kimnya kimnya huwezi amini kila nikigeuka naona wanawake wamevalia nusu uchi huku wengine wameachia matritri wazi wazi na wengine wakijinadi kwa style zao huku wakikufunulia maeneo uangaze kidogo.

Katika harakati za kuangaza angaza gafla alitokea dereva toyo nikajikuta na msimamisha na kumwagiza anipeleke home moja kwa moja nilitajiwa bei hata akili ya kuomba punguzo haikuwepo kabisa ila nashukuru home nilipokelewa salama tuu na hata sikupata makelele zaidi tuu ya wewe endelea kunitesa tena kwa sauti ya upole sana.

Nimeamka leo na malizia nusu day yangu hapa asee.. na waza sana jana nilikua ni nunue maradhi nikaue mtoto wa watu alafu nibakie kujutia sana.

. Wanaume wenzangu tukiwa na hasira za job tusiwe tunapita maeneo ni mara mia uende nyumani mama watoto akakupigie makelele na utelezi akupe kwa password kuliko maeneo yale.

Nafsi yangu inaniambia nilikua na nunua ngoma kwa hela zangu mwenyewe.
 
Pombe Iko hivi kama ulilewa uka amka unajuta huku hukumbuki vizuri ukichofanya basi jua ulikunywa ila kama una amka unajipakulia minyama hivi jua Hela ilikata,Kwa mara ya kwanza ushukuru umaskini wako,na inawezekana hata Malaya hukugonga sababu maokoto yalikata
 
Ndugu wana jf.

Katika kipindi nimewaona malaika wakinipigania ni usiku wa kuamkia leo ndugu zangu.

Baada ya kuzinguliwa job kutokana na itilafu za mitambo za hapa na pale nikaona hakuna haja ya kurejea home mapema kwenda kupigiwa kelele na mtoto wa watu na vile weekend imeanza nikajisemea acha nikasuuze koo na macho mitaa flani huko mbali

Wakuu kadiri ni livyo kua na suuza koo ndivyo kadiri macho yalivyozidi kufumbwa na shetani. Ilifikia mahali nikaona sasa acha nitafute samaki wawili watatu wa kunitoa wenge kimnya kimnya huwezi amini kila nikigeuka naona wanawake wamevalia nusu uchi huku wengine wameachia matritri wazi wazi na wengine wakijinadi kwa style zao huku wakikufunulia maeneo uangaze kidogo.

Katika harakati za kuangaza angaza gafla alitokea dereva toyo nikajikuta na msimamisha na kumwagiza anipeleke home moja kwa moja nilitajiwa bei hata akili ya kuomba punguzo haikuwepo kabisa ila nashukuru home nilipokelewa salama tuu na hata sikupata makelele zaidi tuu ya wewe endelea kunitesa tena kwa sauti ya upole sana.

Nimeamka leo na malizia nusu day yangu hapa asee.. na waza sana jana nilikua ni nunue maradhi nikaue mtoto wa watu alafu nibakie kujutia sana.

. Wanaume wenzangu tukiwa na hasira za job tusiwe tunapita maeneo ni mara mia uende nyumani mama watoto akakupigie makelele na utelezi akupe kwa password kuliko maeneo yale.

Nafsi yangu inaniambia nilikua na nunua ngoma kwa hela zangu mwenyewe.
Mwisho wa mwezi hata wasiokunywa hujibaraguza ili nao waonekane.
 
Hata kama sio mnywaji au mlevi wa pombe kitendo cha mwanamume rijali kupita maeneo ya wauza mbunye ni hatari sana hasa ukiwa na vichenji mfukoni.

Unapita sehemu una mia tatu alfu mfukoni halafu unaona pisi ina kijungu sio cha nchi hii ,lazima unase tu mtegoni huku ukizingatia inakuambia 15k- 20k tu unajipigia utakavyo.
 
Ndugu wana jf.

Katika kipindi nimewaona malaika wakinipigania ni usiku wa kuamkia leo ndugu zangu.

Baada ya kuzinguliwa job kutokana na itilafu za mitambo za hapa na pale nikaona hakuna haja ya kurejea home mapema kwenda kupigiwa kelele na mtoto wa watu na vile weekend imeanza nikajisemea acha nikasuuze koo na macho mitaa flani huko mbali

Wakuu kadiri ni livyo kua na suuza koo ndivyo kadiri macho yalivyozidi kufumbwa na shetani. Ilifikia mahali nikaona sasa acha nitafute samaki wawili watatu wa kunitoa wenge kimnya kimnya huwezi amini kila nikigeuka naona wanawake wamevalia nusu uchi huku wengine wameachia matritri wazi wazi na wengine wakijinadi kwa style zao huku wakikufunulia maeneo uangaze kidogo.

Katika harakati za kuangaza angaza gafla alitokea dereva toyo nikajikuta na msimamisha na kumwagiza anipeleke home moja kwa moja nilitajiwa bei hata akili ya kuomba punguzo haikuwepo kabisa ila nashukuru home nilipokelewa salama tuu na hata sikupata makelele zaidi tuu ya wewe endelea kunitesa tena kwa sauti ya upole sana.

Nimeamka leo na malizia nusu day yangu hapa asee.. na waza sana jana nilikua ni nunue maradhi nikaue mtoto wa watu alafu nibakie kujutia sana.

. Wanaume wenzangu tukiwa na hasira za job tusiwe tunapita maeneo ni mara mia uende nyumani mama watoto akakupigie makelele na utelezi akupe kwa password kuliko maeneo yale.

Nafsi yangu inaniambia nilikua na nunua ngoma kwa hela zangu mwenyewe.
Alafu mtoto wa watu anakuua yeye...ila usipende kuumiza nafsi ni bora ungechovya kidogo nafsi ingetulia.
 
Ngwengwe kuipata sio easy unavyodhani.

Ni salama zaidi kumla changu sababu utatumia kondomu na umakini zaidi.Kuliko huyo mtoto Wa watu ambaye anaweza liwa na akina side miwaya wa kitaa na wewe ukaloweka kama Kawa.

Msidhani mko salama.
 
Nakazia
wengi wanaodaka ngoma ni hao wanao date, kuliko wanao nunua moja kwa moja
 
Back
Top Bottom