Jina zuri la mtoto wa kiume

Jina zuri la mtoto wa kiume

Kwanini??Hilo sio jina la mtoto wa kiume linaloanza na A"
Kwa uelewa wangu mdogo ,Alla inamaanisha ni Mungu kadiri ya dini ya Kiislamu, na pia wakristo wanajua mtu hawezi kujiita Mungu ni kosa!, maybe unafanya mzaha haupo serious kama ilivyo desturi yenu Gen Z
 
Mhhh! tulienae anatutosha si unaona vurugu lake akija wa pili si tutahama nchi...😂
Basi aitwe Aghakhan
Majina ya ajabu kama haya yanakuwaga na watoto wanaokuja kufanikiwa kuliko wanaoitwa majina ya kawaida kama kina Adrian,Amani(huu ni utafiti wangu usio rasmi)

Nikija kupata mtoto nitatumia jina ambalo sio common
 
utafiti wako itabidi tuutafiti pia!, huaminiki wewe...😅
 
Kwa uelewa wangu mdogo ,Alla inamaanisha ni Mungu kadiri ya dini ya Kiislamu, na pia wakristo wanajua mtu hawezi kujiita Mungu ni kosa!, maybe unafanya mzaha haupo serious kama ilivyo desturi yenu Gen Z
Sasa mkuu MUNGU ni jina au cheo??umeona unataka kuhamisha mjadala,kama jina hujapenda sawa..
 
Nimeona wadau wengi wanataja majina yenye asili ya kizungu.

Kwani mkuu ukoo wako na wa mke wako hakuna majina ya asili ya Kiafrika ukamuita mtoto?

Afrika sijui tumelaaniwa na nani maana jina tu linatafutwa kwa watu baki ambao hata hamfahamiani.
 
Back
Top Bottom