The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,436
- Thread starter
- #61
Hili jina ndio nilikuwa nafikiriaAlvin – lenye maana ya rafiki mwaminifu.
Hili jina ndio nilikuwa nafikiriaAlvin – lenye maana ya rafiki mwaminifu.
basi Amos MakallaAlbert chalamila hapana
unyama ukishampa hilo jina.Hili unyama
Thread ifungwe, kijana aitwe AntipasAntipas Lissu
Mwite jina la baba Yako au Babu Yako, mengine achana nayoWife kajifungua salama kabisa, with no any complications
OK. Jina gani Zuri la mtoto wa kiume , la kikristu ,
Lianze na alphabet A
Mungu awabariki baba na mama AlvinHili jina ndio nilikuwa nafikiria
Unaweza rithisha watoto mapepoMwite jina la baba Yako au Babu Yako, mengine achana nayo
AtukelamwikeWife kajifungua salama kabisa, with no any complications
OK. Jina gani Zuri la mtoto wa kiume , la kikristu ,
Lianze na alphabet A
sasa hivi Alvin limekuwa kama Junior mitaaniMungu awabariki baba na mama Alvin
Kwani akiitwa jina la kizungu kitu gani kitabadulika ? Au atakuwa na tofauti ganiShida ya waafrika sasa, yaani mtoto ni wako,tnataka umuite majina ya wazungu waliokufa zamani,na the way ulivyo huna akili hata kuwaza tu wewe mwenyewe umeshindwa,unataka ututangazie matunda ya ngono zembe uliyofanya miezi 9 iliyopita. Cha kufanya, muite jina la ukoo wako,baba,babu,baba wa babu yako nk. Usimuite majina ya wazungu.
Hahaha
Hahaha 😁🤣AKUZ
AYAVUZ